Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Haki ya mtu inaungwa mkono na ulimwengu wote!! Sio Israel anafanya propaganda za uwongo kama awa milokole ya uku kwetu!!!

Lkn ukweli kwasasa upo wazi kuwa Israel ndio ma MAGAID ktk dunia ya Haki!!!! Wamechafuka duniani akuna mfano kuuwa watoto wachanga kumeiletea fedhea kubwa Israel na waungaji mkono wake!!!

Asante aL jazeera kwa kuabalisha ulimwengu na ulimwengu umeelewa msingi wa Tatizo ukiacha awa mbugira mbugira w kisiju!!! na ulokole wao wa chuki uku wanavunja amri ya Sita!!!! Ulimwengu umechangamka kwasasa Umiliki wa MEDIA Q ISRAEL ulikuwa unakazi ya kupotosha Watu Duniani

lkn sasa watu wameshtuka na kujua Ukweli ni upi migaid kinanani!!! Mfungwa anakamatwa akiwa na miguu2 unamwachia na mguu 1 huu ndio Ugaid wanyewe!!

Wangefanyiwa wao ilo daaaa MEDIA zite Duniani zingepewa kazi ya Propaganda na promo!!!! Kuuchafua Uislam
 
Hizi media za wazungu wanafiki sana na wauaji wakubwa zamani nilikuwa naziamini sana kumbe hamna kitu aisee sasa hivi siangalii kabisa sijui CNN sijui BBC,Fox News zote media za ugongo tu acha ALJAZEERA waendelee kuchukuwa tuzo bora duniani kila mwaka.
 
Kwa ujinga ulionao wewe hata hujui kwa nini kajifunika uso mzima kisha kava miwani mieusi
We jamaaa unaumia sana Ritz anavo Tujuza yanayojili sasa naww si ukaendeleze Uzi wako wa Uwongo njoo utam kiduku!!!!
UZI wako upo wewe unaangaika uku kwa Ritz upendi Jamii forum ikiletewa matukio ya kweli!!! unataka Watu wakufatilie wewe na Habari zako za Propaganda!!!!!
 
Myahudi na Trump wamekushika pabaya!Mateka wakiisha ndo utajua hujui.Isarelis are just buying time!Vita haijaisha ndo kwanza inaanza
Kabisa tunajua ipo ndio mana HAMAS wanakabizi Wafugwa awa wamechoka sana wanakufa ovyo mkononi mwa Hamas!! mikiki mikiki kwa mwaka na miez 5!!!!

lengo kikiwaka tena Hamas wanavuka mpaka upya wakachukue mateka Wapya kama 500 ivi wawasambaze Gaza. Ili tuone GAZA Inavofutika!!!!!!
 
Mimi niko hapa kuweka mambo sawa siyo kulishwa Matango Pori kama anavyofanya Ritz kuwalisha Propaganda zisizo na Ukweli. Najua watu kama wewe waliozoea kulishwa Matango Pori ukweli si lahisi kuukubali!!
 
Back
Top Bottom