Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Ni muda wa kupasafisha kabisa Gaza...fagia kila kitu..na hakuna kima yoyote wa Palestina kurudi....
 
Unaweza kuwaita majina yeyote

Angalia hiyo Bunduki ya Hamas ni bunduki ya Israel baada ya mapigano na majeshi dhaifu ya Israel na kuchukua bunduki nyingi😂

View: https://x.com/legittargets/status/1888996354661425311?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwsas

Unaweza kuwaita majina yeyote

Angalia hiyo Bunduki ya Hamas ni bunduki ya Israel baada ya mapigano na majeshi dhaifu ya Israel na kuchukua bunduki nyingi😂

View: https://x.com/legittargets/status/1888996354661425311?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hiiii kitu nimeipenda Iran atakuwa ashajibebea Hamas kila siku inazidi kuwa Wakali kutoka kutoka kutumia mawe!!! Kwa Palestina waliamua kupambania Ardhi yao!!!! Jiwe kwao ilikuwa ni silaha leo Wana Vitu vya Hatari Hatari muisrael kazi anayo!!!
 
Unashangaa Kuna nchi wanajeshi wamekimbia kwaadui kuomba hifadhi ( move from war zone to comfort zone). Hawa jamaa wanaujua uchungu wa mother land haswa.

Mwenyezi mungu mtukufu awahifadhi kwa nia yao thabiti ya kuitetea nchi yao.
Hakuna Mungu mpuuzi wa kiwango hicho.Ngoja Yahudi aendelee kuwakamua.
Kinachonifurahisha ni kwamba kwenye ceaze fire tunawaona Hamas wakiwa kwenye uniform wamependeza kwelikweli kijeshi.Kichapo kikianza wanavua uniforms
 
Wanageuka kwa watoto wewe Myahuidi mweusi huwezi kuwafahamu Hamas Tel Aviv ndiyo wanawajua wewe endelea na ushabiki mandazi.
 
Hamas says that the U.S.’ guarantees for the ceasefire deal are no longer valid given Trump’s intended plan to commit a crime against humanity by deporting the Palestinian population of Gaza and not allowing them back.

The deal is teetering.
 
Afisa wa Hamas Basem Naim anaiambia Al Jazeera kwamba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu "anahujumu kwa makusudi" makubaliano ya kusitisha mapigano, akiendelea kuzuia misaada, kuua Wapalestina, na kuchelewesha mazungumzo ya awamu ya pili.
 
Hawa ni really defenders of motherland . Hawaogopi kufa wakipigana ardhi Yao! Wapo tayari kufa woote hata Kwa njaa lakini hawako tayari pia kuona mkoloni akiishi Kwa Raha. Licha ya vita ya kimbari dhidi Yao Kwa siku 470 Bado hawakupiga magoti Kwa mtesi wao. Walisimama kidete wakatoa conditions kwamba bila kutimizwa hawataacha kupigana Wala kuachia mateka. Ni kweli wakoloni wanaelekea kushindwa conditions zinazidi kutekelezwA japo Kwa fedheha na aibu kubwa...From land to the sea Palestine will be free. Keep it up defenders.
 
Back
Top Bottom