Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

View: https://x.com/qudsnen/status/1889017163630956788?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unafikiri kati ya wayahud na waarabu nani ambae yupo tayar kufa kuliko kuiachia ardhi yao?
 
View: https://x.com/drloupis__/status/1888648662122893527?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwniwniwapeWatoto waisrael Walikuwa wanapigania Taifa teule mashujaa wao K

Hawa uwa hawanisumbui kabisa nawajua vyema na wanajua bakora zangu😅 hamna watu waoga kama hawa walokole wa JF.
Sana sana ukiwasikia popote ndio walivo utasikia Wanamkemea Shetani!!! atokee tu Panya kwwnye kichwa cha m'bwa uwone izo mbio zao ata Watoto wao Wanawatelekeza!!!!!!
 
Hizo Demand wanazotaka wamelipa kiasi gani cha pesa? wapenda dezo ni shida sana.. asiyefanya kazi na asile..

Waendelee tu kudeka dawa yao ipo karibu... hivi Si uislam umekataza kuomba omba au ndio mafeki muslim ni manafiki.. wanainyea Quran na Uislam
 
Ben-Gvir anasema dawa yao wanazuia misaada dawa ya Jeuri ni kusudi.. kwanza misaada haiwafikii mateka so kelele za wanafiki hazitosikilizwa tena vita ikilipuka upya.. Kosa kubwa sana kuingia mkataba na Iblis atakugeuka tu..

Ben-Gvir proposes law to block aid to Gaza​

Itamar Ben-Gvir is pushing for Israel to legally forbid transferring humanitarian supplies to Gaza in response to Hamas suspending the hostage deal.​

Dah.hata kuperuzi imekuwa tabu kama ilivyokuwa huko mashariki ya kati.

Ritz una sababu gani za kuflood jukwaa namna hivyo?

Urg
 
Unafikiri kati ya wayahud na waarabu nani ambae yupo tayar kufa kuliko kuiachia ardhi yao?
Huko tunakoelekea wayahudi wote wataondoka atabaki netanyahu labda na ben gavir tu wazingu mnaowaita wayahudi kwao ni ulaya mda ukifika wakiona mambo magumu wanapanda ndege kurudi ww umeona wapi hao wapalestina wakiondoka licha ya banker busta na F35
 
View: https://x.com/drloupis__/status/1888648662122893527?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwniwniwapeWatoto waisrael Walikuwa wanapigania Taifa teule mashujaa wao K

Kuomba wapi tena umeelewa kilicholeezwa misaada ipo apo mpakani yani Misri tàtizo wao Wanazuiya mizigo isipite sio kuwa wao ndio watoe!!!!!
 
Watu wanasaidiwa na Wenye mapenzi na Palestina kuna misaada sio ya kitoto uko Mpakani n Misri,,, IDF mimacho inamtoka sasa anazuiya Misaada !!! Yeye si pia si anapokea kutoka Marekani na Ulaya!!!! Israel Awe mpole yote maisha tu.
 
Huko tunakoelekea wayahudi wote wataondoka atabaki netanyahu labda na ben gavir tu wazingu mnaowaita wayahudi kwao ni ulaya mda ukifika wakiona mambo magumu wanapanda ndege kurudi ww umeona wapi hao wapalestina wakiondoka licha ya banker busta na F35
Sasa eneo si lilikuwa la waarabu kwa asilimia 90 mpaka sasa hiv kati ya mwarabu na myahud nani kaondoka jibu swali.
 
Sasa wewe shoga upo Ikizu unajua Hamas walipojifika sasa kwa nini usiwaambie mabasha zako walipo Hamas😅
Punguza asira mzee kunywa maji. Trump kasema hicho kieneo anapita nacho mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…