Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Kinachoenda kutokea Gaza ewe mvaa kobazi wa kwa mtogole utalia na kusaga meno....
Mwisho Jumamosi saa sita mchana......tusisikie kilio
Mvaa msalaba wa mboa kutoka Rombo anatoa tamko 😂
 
TRAMP UYU UYU unamuamini ametoa ahadi ngapi na akutelekeza!????
Wanamuona Mungu wao hawa walokole si wanaabudu watu kashindwa kujenga ukuta huko kwake ataweza Gaza😀
 
Anadhanga pamoja propaganda zao Hamas ni magaidi watu wanajitolea misaada yao kuja magari yamebeba vufaa vya ujenzi na mitambo hataki yaingie Gaza jamaa wajinga sana.
 
Sasa tutaona kama kweli KAALLAH katawasaidia, kwani mumepewa hadi Jumamosi mchana muwe mumewaachia mateka wote. Ndiyo hapo wale hamas waliokuwa wanavaa miguo ya kijeshi wote watageuka RAIA WA KAWAIDA. mulikuwa mnachezacheza na Muslim brotherhood wenzenu akina Joe Biden na Barack Obama lakini sasa amekuja mwamba wenu. Muulizeni mwenzenu Rais wa Venezuela Nickolas Maduro. Kapeleka mwenyewe ndege ya kuwahamishia illegal immigrants wake.


View: https://x.com/Imamofpeace/status/1889112953179566437
 
Kuna msemo unasema ukiona mpo vitani na jirani yako kinchi then kuna mmoja aliongea na US
 
PALESTINA Wenyeji wanafaamika ata na UN wanawajua dheni na Waliokuja na Majaahazi kuamia eneo lile pia UN inawajua!!! vip Mgeni awe ndio mwenye Ardhi!!!!

Kenge awa mungu FUNDI sana kuwapeleka kwa Warabu ambao ndio Wenye Iman thabiti Mwarabu kamwe atokubali eneo lao lichukuliwe Kibabe hii Vita inamiaka mingine 20 pengine lkn waisrael awatawai kupata Aman ktk Ardhi ile Mungu Fundi sana

MIGAID Wakatili sana Waisrael kwenda kuangukia Pele sawa na mbuz kufia kwa muuza Supu!!! Awa waisrael kama Wangekuja Africa wangetusumbua Sana

au Wangeenda America kusini kote uko wangenyakuwa Ardhi na kuuwa ovyo sidhani kama Wangepeta Upinzani kama huu wanaokutana nao mana HAMAS aitaji pesa anapigania Ardhi yao Iman yao,,

kinachofanya IDF Wawepo apo GAZA ni kimoja tu Jesh la Anga ili jesh ndio linazuiya HAMAS wasipigane Hana kwa Hana au Wapigane muda Mfupi na kupotea ili kukwepa Jeshi la Anga Kama sio ANGA haaaaa sasaivi HAMAS Wangekuwa Washachukua Ardhi yao yote,,,

Lkn leo sio jana Mpalestine alikuwa anatumia mawe lkn Sasaivi japo mtutu anao na Yumkini miaka 3 au 4 uko mbele nayeye akawa kama hezbollah akachagua pakupiga sio kurusha tu Makombora Ovyo

ukweli siku baada ya Siku ndio Mvamizi anakabiliwa na Hatari kubwa kuliko Jana. Vile sasa technology inawafikia Wapalestina,
ndio mana Netanyahu na washauri wake wanajua muda ndio huu kuichukua GAZA Baada ya miaka 3 Vita Itakuwa ngumu kwao

kama ile ya Hezbollah, iyo Hezbollah nayo Baada ya miaka 3 ndio IDF asogei kabisa ule upande. Kwasasa Wairan Wawasaidie uwezo Wa kuzishusha zile ndege apo sasa ndio IDF watagoma kabisa kusikia Habari ya Vita na HAMAS au Hezbollah,, Wakiweza kushusha ndege Iran abaki tu zile Promis zake ili kuzitwanga Store zilizojazwa silaha kutoka marekani na kwengineko,,, YEMEN afunge Bahari Waisrael kwishaaaa,,,
 
‎Hamas leader Osama Hamdan: We will not make concessions to the enemy, we will not repeat the mistakes of Oslo, and the resistance is capable of continuing
 
Pole kwa hasira mwarabu. Hakuna namna mashoga wanawapelekea moto
Hahaha nimecheka sana kuna mchaga mmoja hapa kaniambia huyo shoga alikuwa mfanyakazi wa Matemu kafukuzwa kazi kwa wizi wa viatu hizi ni hasira tu nimecheka sana🤣 pole sana endelea kujiliwaza na kupambana na Hamas.
 
HAMAS SAYS 'DOOR REMAINS OPEN' FOR EXCHANGE TO PROCEED AS PLANNED' PENDING ISRAEL'S COMPLIANCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…