Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Yaani mateka wakishakabidhiwa kichapo kitakachoikuta Gaza si cha dunia hii.Mark my words!
Wewe punguani kweli Gaza ni gereza la wazi toka mwaka 1947 babu yangu ajazaliwa Wapalestina wanauliwa wala hamna kigeni. Wewe ndugu zako
Kijijni wanakufa kwa UTI wewe unaumwa Festura bado unapambana na Hamas😀
 
Video 1) Jenerali wa Israeli akikiri kwamba IDF haiwezi kupigana vita vya chinichini.

Video 2) Hamas wanaokubali blinken 'wamerudi kwa nguvu kamili' siku moja baada ya kusitishwa kwa mapigano.

Hitimisho: Israeli iliogopa sana kupigana kwenye vichuguu hivyo ilishambulia raia kwa mwaka mzima ili kujifanya kuwa katika 'vita'.

View: https://x.com/xisraelexposedx/status/1890704881599549947?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kila mtu apigane vita anayo weza. Ukiona ya ardhini inakulipa pigana hiyo. Mwenzako akija juu utajijua wewe mwenyewe
 
Kabisa
Video 1) Jenerali wa Israeli akikiri kwamba IDF haiwezi kupigana vita vya chinichini.

Video 2) Hamas wanaokubali blinken 'wamerudi kwa nguvu kamili' siku moja baada ya kusitishwa kwa mapigano.

Hitimisho: Israeli iliogopa sana kupigana kwenye vichuguu hivyo ilishambulia raia kwa mwaka mzima ili kujifanya kuwa katika 'vita'.

View: https://x.com/xisraelexposedx/status/1890704881599549947?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

kabisa IDF ilikuwa ilipokea mipesa mingi na Wajeda wana chocho zao Wanaenda kulala wengine Wanakuwa zamu ya kuwalinda waliolala!!!!

NETANYAHU asingeshtuka miaka 3 ingefika na akuna Mateka wangeokoa!!! Awa IDF NA WAjeda wa Congo ndugu baba m1!!!!
 
Swali ulilo uliza nimeisha kujibu we bwege hutaki kuelewa. Kenge mmoja.
Uyo jamaa anapenda propaganda mfano kuna ile video ya Mateka mama wa Israel alikuwa na watoto pacha 2

yule mama nakumbuka aliachiwa free tena akasaidiwa na kubebewa mtoto!! Kwasasa kwenye YouTub ipo picha 1 tu ikimuonesha

uyo mama akibebwa na
Watoto lkn awasemi ukweli kama alichaachiwa ili waisrael nao Wafanye propaganda lkn uyu mama nitaendelea kuamini kuwa yupo free.
 
Wewe punguani kweli Gaza ni gereza la wazi toka mwaka 1947 babu yangu ajazaliwa Wapalestina wanauliwa wala hamna kigeni. Wewe ndugu zako
Kijijni wanakufa kwa UTI wewe unaumwa Festura bado unapambana na Hamas😀
Muhammad amekuathiri na mitusi.Yaani mafuasi yake yamekaa kisharishari kama mapalestina.Anyway tunaiona rangi yenu halisi kupitia matusi na chuki kwa wasio na imani yenu.Upunguani wangu ni kusema ukweli?
 
Uharo mtupu unakesha JF kutukana Uislam. Wewe punguani siyo wa kwanza kitukana Uislam wala kuchukia Waislam sasa kuna Waislam 2 Bilion utazidi kujiumiza kwa chuki zako utawachukia watu bilion 2😀
 
Milokole mzigo kwa Taifa wapo Tayali kusema uwongo ili kumtukuza Yesuuuu wao!!!!
 
Back
Top Bottom