Hawana uwezo wowote wa kupigana vita kazi yao kubomoa majengo na kuuwa watoto, mikwala mingi begi kubwa kibuyu cha maji Laptop kofia ya camera visu hahah anakutana Hamas ana mshine moja tu anapeleka msiba Tel Aviv,Israel kwenye vita ya ana kwa ana hawawawezi Hamas watachinjwa sana bora warudi kujifungia ofisini warushe Drones ila siyo kujaribu combat fighting na Hamas
Pale Sudan, waarab wanaua nini,race yako ya, watu weusi inauliwa kila Leo pale Sudan, lakini wala, hutikisi makalio kuwatetea, Ila wakiuliwa mabwana zako Arabs, unatetemeka!Inauwa watoto tu na wanawake..
THE DEATH TOLL OF ISRAELI SOLDIERS IS 455, SINCE THE GAZA GROUND OFFENSIVE BEGAN IN OCTOBER 27, 2023
Hizi namba za kisiasa tu lakini wamezika wengi.
Hawa si hawana chakula wanapganaje na njaa?Msemaji wa Hamas Abu Obaida:
Mpango wa Israel wa kuikalia Gaza utafeli.
Jeshi lao litapata hasara kubwa, wanajeshi zaidi watakamatwa, na wapiganaji wa upinzani wamejitayarisha kikamilifu kwa ari ya hali ya juu.
View: https://x.com/currentreport1/status/1961616111440728119?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wacha uongo wa ******* wewe.Pale Sudan, waarab wanaua nini,race yako ya, watu weusi inauliwa kila Leo pale Sudan, lakini wala, hutikisi makalio kuwatetea, Ila wakiuliwa mabwana zako Arabs, unatetemeka!
Hamas wapigwe tu! Palestina,ichukuliwe tujenge apartments zetu wayahudi
Hamas ndio wananchi!?Hawa si hawana chakula wanapganaje na njaa?