Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Pale Sudan, waarab wanaua nini,race yako ya, watu weusi inauliwa kila Leo pale Sudan, lakini wala, hutikisi makalio kuwatetea, Ila wakiuliwa mabwana zako Arabs, unatetemeka!
Hamas wapigwe tu! Palestina,ichukuliwe tujenge apartments zetu wayahudi
Wewe shoga kweli harafu bwege hujui hata unachotetea.

RSF na jeshi la Sudan wakigombea nini?
 
Safi sana Hamas


Ngoja tusubiri comeback ya Israel


Ila usije kulia humu
 
Wanajeshi wanne wa IDF waliotekwa na Hamas hawa hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20250830_123048_com.huawei.hidisk.jpg
    Screenshot_20250830_123048_com.huawei.hidisk.jpg
    350.1 KB · Views: 20
🚨🇮🇱❌🇵🇸🇵🇸 Al Jazeera, alongside Hebrew Media sources have reported 4 missing IOF soldiers with search operations still ongoing.

Palestinian sources also report the arrival of Al-Qassam Brigades Reinforcements to the area.
 
Hamas wameshindikana, Israel imeziba mipaka yote hadi kwenye maji, maana Gaza strip ipo ukingoni mwa bahari, wametumia njaa kama silaha lakini imeshindikana...

Hao jamaa wanatumia hivyo vyuma chakavu hapo hapo Gaza kutengeneza rockets, wanatumia pia mabomba ya maji kutengeneza maroketi na mabomu ya mota...

Wanatengeneza sniper zao na zipo vizuri...wanatengeneza na risasi.. wana viwanda huko chini ya ardhi...

Hadi sasa sijapata kuona askari wenye uwezo wa kupamana vita ya ana kwa ana kama Hamas, it doesnt matter uwaite magaidi au vyovyote lakini haiondoi ukweli wapo vizuri kivita..

Sayeret Matkal wa Israel, Green Beret wa US, SAS wa UK,Spetsnaz wa Russia na units nyingine za commandos na elite special forces hawajafikia na hawana uwezo kama wa Hamas... na si mapambano tu hata intel...

Maana halisi ya commando ni kuweza ku survive katika mazingira magumu zaidi, kutumia kitu chochote kinachokuzunguka kutengeneza silaha, Hamas wanatumia scrap metal kutengeneza silaha...

Wanapambana na nchi tajiri, zenye intel bora kabisa duniani, zenye kila aina ya silaha, zenye askari wengi kuwazidi , zenye satellite... lakini jamaa wamepambana kana kwamba ni kitu rahisi tu ndani ya kieneo chenye ukubwa wa wilaya...

Hata Navy Seal wangewekwa pale Gaza kwa namba ile ile sawa na Hamas, wasinge resist kiasi hiko... wangeshajisalimisha...
Wakati mwingine tuache story na tuangalie uhalisia, tuache hollywood tuangalie uhalisia... Hamas ni mizuka si watu..
 
Msemaji wa Hamas Abu Obaida:

Mpango wa Israel wa kuikalia Gaza utafeli.

Jeshi lao litapata hasara kubwa, wanajeshi zaidi watakamatwa, na wapiganaji wa upinzani wamejitayarisha kikamilifu kwa ari ya hali ya juu.


View: https://x.com/currentreport1/status/1961616111440728119?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Israel hawezi kupigana na wanaume hasira yake inaishia kuvunja majumba na kuwauwa watoto na wanawake.

Jeshi la kishoga hata wapewe silaha zote za USA hawawezi kuwashinda Hamas.
 
Wanakumbi.

Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.

Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya.

Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na tukio hilo.

Netanyahu aliambiwa wazi kuwa unaingia Gaza unakwenda kupoteza wanajeshi wako na unaweza pia kupoteza mateka wenu kwa mabomu mnayrusha hovyo
================

Hamas has killed several Israeli soldiers in Gaza and reportedly captured 4 more.

However, Israel has claimed that only one soldier was killed and 11 others are in critical condition.

Israel has imposed strict media censorship on reports related to the incident.


View: https://x.com/currentreport1/status/1961590171687948729?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamasi wanatimiza majukumu yao kwa uweledi mkubwa hongera zao..kazi kazi bila kuchoka
 
⚡️ After deadly ambushes .. the occupation army started withdrawing its soldiers from Al-Zaytoun neighborhood and returning them to their barracks

⚡️ Israeli media: Israeli forces withdraw from Zeitoun neighborhood and return to their positions

⚡️ Al-Jazeera analyst: The withdrawal of occupation soldiers from the Zeitoun neighborhood is evidence of chaos in the army and the reorganization of their ranks after they were subjected to a severe and large blow

⚡️ Enemy announcement: An order was issued not to publish any information about the case of the four soldiers until a new statement is issued by the Israeli army
=====
⚡️ Baada ya shambulio la kuvizia.

⚡️ Vyombo vya habari vya Israel: Majeshi ya Israel yanaondoka katika kitongoji cha Zeitoun na kurejea kwenye nyadhifa zao

⚡️ Mchambuzi wa Al-Jazeera: Kuondolewa kwa wanajeshi waliovamia katika kitongoji cha Zeitoun ni ushahidi wa machafuko katika jeshi na upangaji upya wa safu zao baada ya kukumbana na pigo kubwa na kubwa.

⚡️ Tangazo la adui: Amri ilitolewa kutotangaza habari zozote kuhusu kesi ya wanajeshi hao wanne hadi taarifa mpya itakapotolewa na jeshi la Israel.
 
Mwanajeshi huyo wa Kizayuni, anapoingia Ukanda wa Gaza, anakabiliwa na uwezekano wa nne: kuuawa, kuchukuliwa mfungwa, kuwa mlemavu wa kudumu, au kurudi na ugonjwa wa kisaikolojia wa maisha.


View: https://x.com/iwasnevrhere_/status/1961551056577667566?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Leo wakanisa wamejificha wapi ma kenge mpo wapi Echolima1 na Mlaleo Imeloa na Busu la Kenge

Mashoga wenzenu leo wamekutana na wanaume walizowea kurusha tu boom wako 15,000 ft kama mishogo inavyo tembea mkono mmoja juu na wanachezesha kiuno.
 
Back
Top Bottom