Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Achana na bwege hilo alijua lolote zaidi ya porojo eti silaha zinatoka Saudia na Qatar shoga kweli😅
Yani hata hajielewi.
Eti waarabu ndio wanaua watu weusi Sudan Kaskazini.
Sudan zote kusini na kaskazini ukabila na uchu wa madaraka ndio vinawaangamiza.
Hiyo Sudan kusini mwaka huu miezi miwili iliyopita nusu wavunje serikali za muungano na kurushiana risasi.
Qatar na Saudi Arabia wapo na mambo yao huko uje uwaingize kwenye ujinga wa Sudan!?
Imefikia hatua hata waAfrika wenyewe tumewapuuza na kuwaona wapuuzi hawana akili,maana ugomvi wao hauna kichwa wala miguu.
 
Kwahio media za mazayuni zinasema uongo hakuna 4 missing solders? Hii taarifa ni uchi wa kuku mtasema TU Hamas wameshasema ni kifo au uwe mateka ni wao kuchagua wawe upande upo usiwe na haraka mpaka taarifa zitakufikia tu saivi Bado Kuna msako mshenzi
Narudia tena kusema Military formation wanayoitumia IDF huwezi kuchukua mateka wake kwa hali yoyote ile ni kweli mnaeneza uongo tu ambao mwisho wa siku mtakuja kuonekana wajinga tu.

Niwajuavyo mimi Hamas wangeweza kuwateka haipiti saa moja wangekuwa wamerusha picha zao na kuanza kuji Mwambafy kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha ubadirishanaji mateka!!

Sasa hivi hakuna mateka waliyoweza kuteka sasa hivi Terrorist Sympathizers wamepata kazi ya ku-edit picha na kutuletea wakidai eti za askari waliowateka leo!! Huo ni ujinga wa kutokujua kwenu!!!
 
Muhimu katika dunia hii tujifunze kudhibiti hasira, uhai ukitoka haurudi tena. Na mambo ya imani ni ya kufikirika tu.
Mkuu Gaza pale haipiganiwi imani rekebisha hilo kwanza.
Gaza wapalestina waislam, wakristo na wapagani wanauliwa pasi na huruma.
Hivi hukuona ushahidi mwaka jana sniper wa IDF anawatungua risasi wanawake kichwani ndani ya kanisa la kikatoliki!?
Gaza kinachopiganiwa ni ARDHI ardhi kaka.
Sasa ukubali kuonewa kwenye ardhi yako au ujitetee.
 
Mfano, je ukifa ardhi itarudi? Na ikirudi, uhai wako utarudi pia?
 
Mkuu kuishi kwa kudhalilishwa utu wako kisa ubaki hai au kujaribu kupambana kisa utu wako na uishi kwa heshima lipi bora!?
Kuna maana gani ya kubaki hai ilhali utu na heshima yako vinatezwa?
Watoto wako wa kiume wanalawitiwa mbele yako na wewe unapapaswa matako mbele ya mkeo na watoto wako!?
Je kuna heshima ya uhai hapo tena!?
Mkuu tuishie hapa nadhani una mtoto wa kiume na una mke,hatuombei siku usikie tu vijana wako wamepakwa mafuta na mkeo kabakwa,usikie tu achilia mbali uone live wakifanyiwa hivyo,yani upate taarifa tu,Mr Equation mwanaume Johnson wamempaka mafuta na mkeo Janeth wamembaka.
Halafu utizame utahisi nini moyoni.
Pia tukio liwe la kujirudia rudia.
 
Njia pekee ni kuhama na kwenda sehemu yoyote yenye utulivu na kuishi.
 
Narudia tena kusema Military formation wanayoitumia IDF huwezi kuchukua mateka wake kwa hali yoyote ile ni kweli mnaeneza uongo tu ambao mwisho wa siku mtakuja kuonekana wajinga tu.

Niwajuavyo mimi Hamas wangeweza kuwateka haipiti saa moja wangekuwa wamerusha picha zao na kuanza kuji Mwambafy kama walivyokuwa wanafanya kipindi cha ubadirishanaji mateka!!

Sasa hivi hakuna mateka waliyoweza kuteka sasa hivi Terrorist Sympathizers wamepata kazi ya ku-edit picha na kutuletea wakidai eti za askari waliowateka leo!! Huo ni ujinga wa kutokujua kwenu!!!
Hao jamaa akili zao kama hazipo. Hakuna mwanajeshi wa IDF atachukuliwa afu pawe kimya, lazima IDF wangesema maana familia za hao wanajeshi zingeulizia
 
Hawana uwezo wowote wa kupigana vita kazi yao kubomoa majengo na kuuwa watoto, mikwala mingi begi kubwa kibuyu cha maji Laptop kofia ya camera visu hahah anakutana Hamas ana mshine moja tu anapeleka msiba Tel Aviv,
Askari wa IDF kajivisha visha mishangazi kaja unaweza kuzani jimtuuu kubwaaa kumbe cheupe dawaa tu. 😳😳😳
 
Acha uongo shambulio hilo limefanyika usiku na hizi picha zinaonyesha wazi ni mchana kweupe!! Jitahidi basi utuletee picha za leo wakati askari wa Israel mnawateka tuonyeshe picha zao hata kama za photoshop!! Wajinga wenzako watakubaliana na sisi wajuaji tutakuambia utoe ujinga wako!!
Kanaweka picha za AI
 
Attachments

  • 20250830_201301.jpg
    20250830_201301.jpg
    273.7 KB · Views: 21
Yani hata hajielewi.
Eti waarabu ndio wanaua watu weusi Sudan Kaskazini.
Sudan zote kusini na kaskazini ukabila na uchu wa madaraka ndio vinawaangamiza.
Hiyo Sudan kusini mwaka huu miezi miwili iliyopita nusu wavunje serikali za muungano na kurushiana risasi.
Qatar na Saudi Arabia wapo na mambo yao huko uje uwaingize kwenye ujinga wa Sudan!?
Imefikia hatua hata waAfrika wenyewe tumewapuuza na kuwaona wapuuzi hawana akili,maana ugomvi wao hauna kichwa wala miguu.
Mkiambiwa meome hamtaki

Mnakimbilia kusoma madrasa
 
Attachments

  • Screenshot_20250830-201508.png
    Screenshot_20250830-201508.png
    1.2 MB · Views: 29
Yani hata hajielewi.
Eti waarabu ndio wanaua watu weusi Sudan Kaskazini.
Sudan zote kusini na kaskazini ukabila na uchu wa madaraka ndio vinawaangamiza.
Hiyo Sudan kusini mwaka huu miezi miwili iliyopita nusu wavunje serikali za muungano na kurushiana risasi.
Qatar na Saudi Arabia wapo na mambo yao huko uje uwaingize kwenye ujinga wa Sudan!?
Imefikia hatua hata waAfrika wenyewe tumewapuuza na kuwaona wapuuzi hawana akili,maana ugomvi wao hauna kichwa wala miguu.
Jitu pumbavu kama wewe huwezi kuelewa hata hiki kiingereza
 
Attachments

  • Screenshot_20250830-201737.png
    Screenshot_20250830-201737.png
    1.3 MB · Views: 18
Hawana uwezo wowote wa kupigana vita kazi yao kubomoa majengo na kuuwa watoto, mikwala mingi begi kubwa kibuyu cha maji Laptop kofia ya camera visu hahah anakutana Hamas ana mshine moja tu anapeleka msiba Tel Aviv,
Askari wa IDF kajivisha visha mishangazi kaja unaweza kuzani jimtuuu kubwaaa kumbe cheupe dawaa tu. 😳😳😳
 
Mkiambiwa meome hamtaki

Mnakimbilia kusoma madrasa
Unaleta hizi ripoti za mchongo ilhali Mimi Kila leo natizama Aljazeera English watu wakihojiwa live.
Darfur hapo hapo watu weupe pee waarabu kabisa jamaa kapoteza familia nzima kwa kukatwa mapanga na RSF tena aliongezea kusema kabisa kuwa RSF sasa hivi wame recruit bokoharam. Na wanapita nyumba hadi nyumba kama unaiunga mkono serikali wanakuua kwa mapanga.
Wewe unaniletea USENGE wa maandishi ya mchongo!?
 
Jitu pumbavu kama wewe huwezi kuelewa hata hiki kiingereza
Wewe usiniletee vijihabari uchwara.
Hapa Tanzania Kuna wahamiaji kibao wa kiarabu waliokimbia vita Sudan na wapo waliopoteza ndugu zao.
Unataka kusema na wao walikua watu weusi!?
 
Acha uongo shambulio hilo limefanyika usiku na hizi picha zinaonyesha wazi ni mchana kweupe!! Jitahidi basi utuletee picha za leo wakati askari wa Israel mnawateka tuonyeshe picha zao hata kama za photoshop!! Wajinga wenzako watakubaliana na sisi wajuaji tutakuambia utoe ujinga wako!!
Sa kama shambulizi lilifanyika usiku hata picture zitaonekana kweli kwa hio unataka Hamas wapige Tochi ili wapige picture hahaha we vipi walikupa kazi ya kusafisha vyoo Tela Aviv hata huna akili. Hata vyoo unavisafisha kweli kwa akili hio
 
Wanakumbi.

Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.

Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya.

Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na tukio hilo.

Netanyahu aliambiwa wazi kuwa unaingia Gaza unakwenda kupoteza wanajeshi wako na unaweza pia kupoteza mateka wenu kwa mabomu mnayrusha hovyo
================

Hamas has killed several Israeli soldiers in Gaza and reportedly captured 4 more.

However, Israel has claimed that only one soldier was killed and 11 others are in critical condition.

Israel has imposed strict media censorship on reports related to the incident.

View: https://x.com/currentreport1/status/1961590171687948729?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hizi habari wakileta wenzio matusi kila kona ila ukileta wewe poa tu!Acha double standard
 
Back
Top Bottom