Huoni aibu kuandika utombo huu mbele za wanaume, you are StupidWengi wameuliwa
Wengine wametekwa
Na wengine wamevua magwanda wamevaa kiraia na kuikimbia Gaza kama raia na wengine wamejifanya wagonjwa hapo shia hospital et wapo vitanda vya wagonjwa😕😃😃😃😃
Wavaavipedo bila Chupi mnataabika Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo LebanonWaziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.
Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la Gaza, mahali yalipo makao makuu ya shughuli zote za Hamas katika ukanda wa Gaza, kuanzia bungeni, hospitalini mpaka msikitini mayahudi yanajivinjari kama kwao, yakipiga mpaka selfie za dhihaka.
Mahandaki yanabomolewa, majumba mbali mbali yanapekuliwa na IDF kuna kama kuna hata panya wa kiHamas amebakia.
Wengi tulitegemea huenda majeshi ya Israeli hayatakanyaga Gaza kwa haraka hivi ama yakikanyaga tu yatakutana na upinzani mkali wa uso kwa uso kutoka kwa jeshi la Hamas, lakini hali imekuwa kinyume kabisa. Hamas kumbe kwenye vita ya mtaa kwa mtaa ni mrojo kabisa, bora hata mgambo wa kule Sudan wanaafadhali kubwa. Hamas kumbe wepesi hivi, bado nashindwa kuamini.
Hamas wako wapi tena?
Hamas wamekimbia kusikojulikana?
Hamas wameuawa karibu wote?
Hamas wamejificha kusikojulikana?
Ndio tuseme Makafir wanaelekea kushinda vita na kujinyakulia maeneo yote ya Gaza kirahisi namna hii.
Huwezi kupigana na mtu usiyejua alipo,wayahudi wanadhani watashinda Kwa sbb yavifaa vyao,mwarabu hulenga on the target ...
On the target sio ila sema watz ni kipengele sanaHuwezi kupigana na mtu usiyejua alipo,wayahudi wanadhani watashinda Kwa sbb yavifaa vyao,mwarabu hulenga on the target ...
Dunia gani inayopambia vita iishe acha uzandiki,zana za kivita zinapelekwa Kila siku na USA halafu ati vita viiseOn the target sio ila sema watz ni kipengele sana
Dunia nzima inapambania vita iishe ila tz si tunashabikia
Endeleeni kujifariji.Huwezi kupigana na mtu usiyejua alipo,wayahudi wanadhani watashinda Kwa sbb yavifaa vyao,mwarabu hulenga on the target ...
Amka usingizi,Hamas ndio ishakufa hivyoHamas haitabiriki!
Toka usingizini, Hamas ndio ishajifia hivyo the rest is history.Huwezi kupigana na mtu usiyejua alipo,wayahudi wanadhani watashinda Kwa sbb yavifaa vyao,mwarabu hulenga on the target ...
Wanafanya nini?Wapo Lebanon
Kemiko Ally.. huyu mpuuzi alitufanya tukashangilia kumbe akuna kitu🤣🤣We jamaa Umenikumbusha vita ya Iraq na US mwaka 2003. Kulikuwa na Waziri mmoja wa Iraq alikuwa machachari sana kwa propaganda. Mojawapo ilikuwa kwamba tayari wameshaandaa makaburi ya kuwazika askari wote Marekani watakao thubutu kuingiza miguu yao Iraq. Na kwamba hakuna askari hata mmoja atakeingia Iraq ambaye angetoka akiwa hai.
Sio kemiko Ally ni Al-Sahaf, Chemical Ally alikuwa kiongozi aliehusika kuwaua Wakurdi kwa sumu.Kemiko Ally.. huyu mpuuzi alitufanya tukashangilia kumbe akuna kitu
Acha izo basiSio kemiko Ally ni Al-Sahaf, Chemical Ally alikuwa kiongozi aliehusika kuwaua Wakurdi kwa sumu.
Hamasa sio kichaa , wale ni wana mgambo hawana hata Air defense system kwahiyo wanatumia akili sio masikioWaziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.
Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la Gaza, mahali yalipo makao makuu ya shughuli zote za Hamas katika ukanda wa Gaza, kuanzia bungeni, hospitalini mpaka msikitini mayahudi yanajivinjari kama kwao, yakipiga mpaka selfie za dhihaka.
Mahandaki yanabomolewa, majumba mbali mbali yanapekuliwa na IDF kuna kama kuna hata panya wa kiHamas amebakia.
Wengi tulitegemea huenda majeshi ya Israeli hayatakanyaga Gaza kwa haraka hivi ama yakikanyaga tu yatakutana na upinzani mkali wa uso kwa uso kutoka kwa jeshi la Hamas, lakini hali imekuwa kinyume kabisa. Hamas kumbe kwenye vita ya mtaa kwa mtaa ni mrojo kabisa, bora hata mgambo wa kule Sudan wanaafadhali kubwa. Hamas kumbe wepesi hivi, bado nashindwa kuamini.
Hamas wako wapi tena?
Hamas wamekimbia kusikojulikana?
Hamas wameuawa karibu wote?
Hamas wamejificha kusikojulikana?
Ndio tuseme Makafir wanaelekea kushinda vita na kujinyakulia maeneo yote ya Gaza kirahisi namna hii.
Dah! Bila chupi tena!Wengi wameuliwa
Wengine wametekwa
Na wengine wamevua magwanda wamevaa kiraia na kuikimbia Gaza kama raia na wengine wamejifanya wagonjwa hapo shia hospital et wapo vitanda vya wagonjwa[emoji53][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wavaavipedo bila Chupi mnataabika Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wako Iran wakichora mstari mwekundu.Hata Hamas wa Buza na Tandale siwaoni tena hapa JF wakitupa zile amsha amsha za kuelekea kushinda Gaza.
Mateka km wamehamishwa mbali na Gaza atawapataje?Mbona unaandika kishabiki as if ni Mambo ya Simba na Yanga?
Mbona hujiulizi...
Kama wamefika kila mahali?
Je, "MATEKA 246"Wa kiisraeli wamepatikana?
Kama bado basi jibu ni kwamba IDF haijafika kila mahala,na ukweli utabakia kuwa watahangaika sana tu!
Kama Marekani ilivyohangaika Iraq bila mafanikio mpaka ikaamua kuyaondoa majeshi yake uli kunusuru anguko la uchumiwa Marekani!