Hamas mbona hawaonekani tena Gaza? Wameuawa? Wamekimbia? Wamejificha?

Hamas mbona hawaonekani tena Gaza? Wameuawa? Wamekimbia? Wamejificha?

Wengi wameuliwa

Wengine wametekwa

Na wengine wamevua magwanda wamevaa kiraia na kuikimbia Gaza kama raia na wengine wamejifanya wagonjwa hapo shia hospital et wapo vitanda vya wagonjwa😕😃😃😃😃

Wavaavipedo bila Chupi mnataabika Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huoni aibu kuandika utombo huu mbele za wanaume, you are Stupid
 
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.

Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la Gaza, mahali yalipo makao makuu ya shughuli zote za Hamas katika ukanda wa Gaza, kuanzia bungeni, hospitalini mpaka msikitini mayahudi yanajivinjari kama kwao, yakipiga mpaka selfie za dhihaka.

Mahandaki yanabomolewa, majumba mbali mbali yanapekuliwa na IDF kuna kama kuna hata panya wa kiHamas amebakia.

Wengi tulitegemea huenda majeshi ya Israeli hayatakanyaga Gaza kwa haraka hivi ama yakikanyaga tu yatakutana na upinzani mkali wa uso kwa uso kutoka kwa jeshi la Hamas, lakini hali imekuwa kinyume kabisa. Hamas kumbe kwenye vita ya mtaa kwa mtaa ni mrojo kabisa, bora hata mgambo wa kule Sudan wanaafadhali kubwa. Hamas kumbe wepesi hivi, bado nashindwa kuamini.

Hamas wako wapi tena?
Hamas wamekimbia kusikojulikana?
Hamas wameuawa karibu wote?
Hamas wamejificha kusikojulikana?

Ndio tuseme Makafir wanaelekea kushinda vita na kujinyakulia maeneo yote ya Gaza kirahisi namna hii.
Wapo Lebanon
 
On the target sio ila sema watz ni kipengele sana
Dunia nzima inapambania vita iishe ila tz si tunashabikia
Dunia gani inayopambia vita iishe acha uzandiki,zana za kivita zinapelekwa Kila siku na USA halafu ati vita viise
 
hizo sarakasi za israel ni kutaka kutuonesha sisi kajamba nani kwamba yeye ni mbabe ila kimya kimya wanakipata pata huko...wao wanaua raia tu ila hatusikii jeshi la HAMAS wamekufa wangapi na wale mateka 200+ mbon hawakombolewi mpk sasa
 
🤣🤣We jamaa Umenikumbusha vita ya Iraq na US mwaka 2003. Kulikuwa na Waziri mmoja wa Iraq alikuwa machachari sana kwa propaganda. Mojawapo ilikuwa kwamba tayari wameshaandaa makaburi ya kuwazika askari wote Marekani watakao thubutu kuingiza miguu yao Iraq. Na kwamba hakuna askari hata mmoja atakeingia Iraq ambaye angetoka akiwa hai.
Kemiko Ally.. huyu mpuuzi alitufanya tukashangilia kumbe akuna kitu
 
Sio kemiko Ally ni Al-Sahaf, Chemical Ally alikuwa kiongozi aliehusika kuwaua Wakurdi kwa sumu.
Acha izo basi
Screenshot_20231116-155131_Google.jpg
 
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.

Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la Gaza, mahali yalipo makao makuu ya shughuli zote za Hamas katika ukanda wa Gaza, kuanzia bungeni, hospitalini mpaka msikitini mayahudi yanajivinjari kama kwao, yakipiga mpaka selfie za dhihaka.

Mahandaki yanabomolewa, majumba mbali mbali yanapekuliwa na IDF kuna kama kuna hata panya wa kiHamas amebakia.

Wengi tulitegemea huenda majeshi ya Israeli hayatakanyaga Gaza kwa haraka hivi ama yakikanyaga tu yatakutana na upinzani mkali wa uso kwa uso kutoka kwa jeshi la Hamas, lakini hali imekuwa kinyume kabisa. Hamas kumbe kwenye vita ya mtaa kwa mtaa ni mrojo kabisa, bora hata mgambo wa kule Sudan wanaafadhali kubwa. Hamas kumbe wepesi hivi, bado nashindwa kuamini.

Hamas wako wapi tena?
Hamas wamekimbia kusikojulikana?
Hamas wameuawa karibu wote?
Hamas wamejificha kusikojulikana?

Ndio tuseme Makafir wanaelekea kushinda vita na kujinyakulia maeneo yote ya Gaza kirahisi namna hii.
Hamasa sio kichaa , wale ni wana mgambo hawana hata Air defense system kwahiyo wanatumia akili sio masikio
 
Wengi wameuliwa

Wengine wametekwa

Na wengine wamevua magwanda wamevaa kiraia na kuikimbia Gaza kama raia na wengine wamejifanya wagonjwa hapo shia hospital et wapo vitanda vya wagonjwa[emoji53][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Wavaavipedo bila Chupi mnataabika Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Bila chupi tena!
 
Mbona unaandika kishabiki as if ni Mambo ya Simba na Yanga?

Mbona hujiulizi...
Kama wamefika kila mahali?
Je, "MATEKA 246"Wa kiisraeli wamepatikana?

Kama bado basi jibu ni kwamba IDF haijafika kila mahala,na ukweli utabakia kuwa watahangaika sana tu!

Kama Marekani ilivyohangaika Iraq bila mafanikio mpaka ikaamua kuyaondoa majeshi yake uli kunusuru anguko la uchumiwa Marekani!
Mateka km wamehamishwa mbali na Gaza atawapataje?

Kimsingi Hamas wamesambaratishwa na haiondoi huo ukweli.

Israel Hadi kwa mahandaki wameshatimba.

So kigezo siyo
 
Back
Top Bottom