Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel.
Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya hayo.Akaongeza kwa kusema lengo la mapigo yao yatakayofuatia ni kisima cha kuchimbia gesi ambacho kipo ufukweni mwa bahari ya Mediterranean.

Houthis ‘well-prepared for a long war’ with Israel​

Hussain al-Bukhaiti, a Yemeni political analyst, said the Houthis have not yet used their most advanced missiles against Israel.
Speaking to Al Jazeera from Sanaa, al-Bukhaiti said: “They have three to four upgraded [missiles] ready and I think [the Houthis] could also launch more missiles against [Tel Aviv] and I believe it can also target the gas platform on the coastline.” .
aljazeera
Kwa upande wao Hamas wamesema pamoja na hasara kubwa waliyopata katika kipindi cha mwaka mmoja wa vita lakini bado wana uwezo kupigana
Hayo yamesemwa na Osama Hamdan kwenye mahojiano na vyombo vya habari huko Istanbul.Amesema katika kipindi hicho cha vita na Israel wamepata hasara lakini wameweza kuingiza wapiganaji wengi wapya na kwamba mapigano hayo yamewaongezea ujuzi na mbinu za vita dhidi ya adui yao.

Hamas official says despite war losses, terror group has recruited ‘new generations’

Hi vita inatakiwa iendelee miaka 7 mbele mpaka Mayahudi yakimbilie Poland
 
Hilo gazeti la Israel lazima wazidishe uwongo eti despite war losses? Wapi kaongea hivyo alicho sema wamepata hasara kama vile upande wapili lakini Gazeti la Israel kusema wameshinda Vita hio wanajifurahisha tu, Hamasi hawezi shindwa Vita hizo ni ndoto za gazeti tu.
 
Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel.
Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya hayo.Akaongeza kwa kusema lengo la mapigo yao yatakayofuatia ni kisima cha kuchimbia gesi ambacho kipo ufukweni mwa bahari ya Mediterranean.

Houthis ‘well-prepared for a long war’ with Israel​

Hussain al-Bukhaiti, a Yemeni political analyst, said the Houthis have not yet used their most advanced missiles against Israel.
Speaking to Al Jazeera from Sanaa, al-Bukhaiti said: “They have three to four upgraded [missiles] ready and I think [the Houthis] could also launch more missiles against [Tel Aviv] and I believe it can also target the gas platform on the coastline.” .
aljazeera
Kwa upande wao Hamas wamesema pamoja na hasara kubwa waliyopata katika kipindi cha mwaka mmoja wa vita lakini bado wana uwezo kupigana
Hayo yamesemwa na Osama Hamdan kwenye mahojiano na vyombo vya habari huko Istanbul.Amesema katika kipindi hicho cha vita na Israel wamepata hasara lakini wameweza kuingiza wapiganaji wengi wapya na kwamba mapigano hayo yamewaongezea ujuzi na mbinu za vita dhidi ya adui yao.

Hamas official says despite war losses, terror group has recruited ‘new generations’

Ma Sha Allah, Allah zaidi kuwaongoza katika haya mapambano na Waislamu wawe wahindi dhidi ya makafiri na mazayuni ulimwenguni pote
 
Back
Top Bottom