Hamas ni miongoni mwa wanaoshangilia usitishwaji wa vita

Hamas ni miongoni mwa wanaoshangilia usitishwaji wa vita

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Watu wako mtaani kushangilia, you can't kill people's ambition by bombs, Palestine must be free
1000002387.jpg
 
Wao wakishangilia Israel wanaumia nini? Kwann wanawapiga mabomu? Ama kweli nani mshindi sasa kama wameshinda kwanini wanaua Watu wanaoshangilia kushindwa?
 
Wao wakishangilia Israel wanaumia nini? Kwann wanawapiga mabomu? Ama kweli nani mshindi sasa kama wameshinda kwanini wanaua Watu wanaoshangilia kushindwa?
Tumushukuru MWENYEZI MUNGU hii vita imeisha maana watu wa Palestine walikuwa wanaisha kwa mateso sana

Sisi katika kanisa huwa Kuna neno tunalitutimia tunaita kanisa la Palestine lilikuwa linapitia mateso makubwa

MUNGU MWENYEZI awaondolee mahangaiko hayo watu wa Palestine na Israel
 
Watu wako mtaani kushangilia, you can't kill people's ambition by bombs, Palestine must be freeView attachment 3206171
Wacha uwongo wewe hao wanashangilia ushindi. Shetanyahu alisema hakuna mwanamgambo wa kubaki wa Hamasi pale Gaza, na ataikalia kwa nguvu leo yuko wapi.

Hamasi wanaume Israel kasaidiwa na Europe na US mpaa na India hawakuweza kuwashinda Hamasi.
 
Hawashangilii kusitishwa Kwa vita tu wanashangilia pia ushindi wa kwamba condition Moja waliyoiweka itafanyiwa kazi kikamilifu. Wapalestina sio waoga. Hawako tayari kumuona mkoloni akiwatawala Kwa uhuru
 
Wanaume wapo zao kitaa mkononi bunduki chini ya gari Rpg. No retreat no surrender. Wanashangilia ushindi kuwaokoa ndugu zao 1900 waliokuwa wamefungwa na wakoloni
 
Wacha uwongo wewe hao wanashangilia ushindi. Shetanyahu alisema hakuna mwanamgambo wa kubaki wa Hamasi pale Gaza, na ataikalia kwa nguvu leo yuko wapi.

Hamasi wanaume Israel kasaidiwa na Europe na US mpaa na India hawakuweza kuwashinda Hamasi.
Mi naona kipondo kiendelee maana mkipigwa mnasema mnaonewa mkiachwa mnasema mnaogopwa aagh!!
 
Hao wanashangilia na mitutu afadhali wamejitokeza kipondo kinaendelea, wasilalamike
 
Wacha uwongo wewe hao wanashangilia ushindi. Shetanyahu alisema hakuna mwanamgambo wa kubaki wa Hamasi pale Gaza, na ataikalia kwa nguvu leo yuko wapi.

Hamasi wanaume Israel kasaidiwa na Europe na US mpaa na India hawakuweza kuwashinda Hamasi.
Embu fafanua kidogo, huo ushindi ni ushindi wa kiitikadiii au ushindi upi mkuu unaousema hapa
 
Watu wanataka nchi huru , hakuna kukata tamaa , akili zao sio kama Chadema gari moja la polisi mbio na maandamano wanayakimbia
 
Back
Top Bottom