FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kabla ya kuivamia Palestina na kuitwaa ardhi ya waPalestina, Israel ilikuwa wapi?Wasikubali ujinga wa amani wowote wanataka waawaache alafu wajipange upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuivamia Palestina na kuitwaa ardhi ya waPalestina, Israel ilikuwa wapi?Wasikubali ujinga wa amani wowote wanataka waawaache alafu wajipange upya
Ilikuwepo hapohapo ilipo sasaKabla ya kuivamia Palestina na kuitwaa ardhi ya waPalestina, Israel ilikuwa wapi?
Na Uganda pia walikuwepo? Vita ya mwaka 1967 ilikuwa ya nini?Ilikuwepo hapohapo ilipo sasa
Magaidi wa kizayuni waliotekwa na wanamapambano shupavu wapo salama na mahala salama ila kwa udhaifu wa idf na vyombo na mashirika yao tanzu yote ya israhell wameshindwa kuwakomboaSijuhi kwanini wazo hili la kwamba mateka wote wa Kiyaudi walishauawa linakataa kufutika kichwani mwangu!
Wazayuni wa jf na tel avivu pamoja na viunga yake munatamani sana hamas wajisalimishe ila hilo jambo halipo suala nilile lile vita vipiganwe mpaka kiama ama uondoke Ghaza na kuwaachia mateka wa Ki palestinaHalafu wajisalimishe wao wote na silaha zao ndipo Israel iwape masharti na maelekezo chini ya Usimamizi wa UN na Serikali halali ya nchi ya Palestina.
Sasa nadhani HAMAS wamejua na wameelewa kwamba Ubabe haulipi.
HAMAS kwisha habari yake![]()
IDF hata wakiregeshewa magaidi wao wakiwa kwenye Rambo hawatakua na laajabu saana ama jipya lolote la kunifanya hamas sana sana watalalamika na kutafuta huruma za watu tuuuHiyo ni kutokana na jinsi hayo majamaa yalivyokuwa makatili. Lakini jipe moyo kwani IDF wanapotoa dai hilo wanajua idadi ya mateka ambao bado wapo hai na wanashikiliwa na hayo madubwana almaarufu kama HAMAS.
Kama Wasipowatoa mateka hai itabidi waseme ilikuwaje, na wakijing'atang'ata
kwenye majibu yao; IDF itakuwa na Uhalali zaidi wa kuwarudisha "uwanjani" ili waseme vizuri au wanyooshe maelezo.
hao itabidi wakahamie iran kwa mfadhili waoInabidi wakaishi uhamishoni; hakuna haja ya 'deal' wakati kuna watu wameshapoteza uhai kwa uzembe wao.
Wamefinywa mpaka wamekubali shoooo 😁😁😁Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
View attachment 3139103View attachment 3139104
View attachment 3139108
Ntaipitia baadae kama ntaionaBwana Utam green rajab
Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel
Mbona mpaka sasa Lakin ardhi yao hawajainajisi na hawawezi kuikalia bila ground offensive. Hivyo basi wao waendee kurushia mbali ila ardhi hawatachukua ardhi ya Lebanon inakaliwa na Israel au hujui?www.jamiiforums.com
Nyinyi wazee wa mihemko kuna thread yenu huku 😁😁😁
Issue inahusu Israel na Palestine Uganda inaingiaje? wayahudi uganda inawahusu nini? Kuna historia gani hata ya kubumba tu inayoonyesha wayahudi asili yao ni Uganda? na ndo maana walikataa wakasema mchana kweupe Israel ndo kwao uganda waliikataa peupeeeNa Uganda pia walikuwepo? Vita ya mwaka 1967 ilikuwa ya nini?
Israel , tupo chini ya miguu yenu, tunaomba mtusamehe, hatutarudia tena.Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
View attachment 3139103View attachment 3139104
View attachment 3139108
Sasa hivi kamwambia Iran, akijaribu tu kuigusa tena Yisarayeli , atachapwa kama nguruwe.HAMAS mnataka vita? Basi tutawapa Vita -Netanyahu.
Labda Hamas ya BuzaMoisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
View attachment 3139103View attachment 3139104
View attachment 3139108
Kipi kilizuia kumchapa kama Nguruwe mara ya mwisho?Sasa hivi kamwambia Iran, akijaribu tu kuigusa tena Yisarayeli , atachapwa kama nguruwe.
achana na porojo , bila Israel kutoa majeshi yake Hamas hawezi kubali dili hiloBado hawajasema