HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

Kipi kilizuia kumchapa kama Nguruwe mara ya mwisho?
Si kapigw akwenye miundombinu yake, wewe unasubiri tarifa kwenye TV ya Magaidi wa kiislamu Al Jazeera?
 
Israel 🇮🇱 ni taifa la vita miaka nenda miaka rudi! Lilianzishwa kwa vita linaishi kwa vita! Hawa nyau wa kubipu hawalojui taifa la Israel 🇮🇱
Hamas hawajawai kubipuu, ndio maana mpaka leo bado wanapigana
 
Si kapigw akwenye miundombinu yake, wewe unasubiri tarifa kwenye TV ya Magaidi wa kiislamu Al Jazeera?
Umesoma hii habari? Hakuna mahali Hamas amekubali dili lolote lile ambalo vikosi vya Israel vitabaki Gaza, hili ndio sharti kuu la Hamas ndio maana huyo Gantz anataka Hamas alazimishwe , kitu ambacho HAKIPO
 
uongo mtupu, Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Hamas masharti yao saba yapo palepale hayajabadilika.
 
Hii hapa hata lisaa halijapita wametoa Israel wenyewe ,Sharti lao Hamas ni lile lile Majeshi ya Israel yatoke Gaza

4AA700A7-681D-4D26-9B66-1C520BECC140.png
 
Umeyaelewa vyema maneno haya lakini ndugu?

"Hamas is ready to discuss any deal that will lead to Israel withdrawal."

Au yale yale ya kwetu na lugha yetu na BAKITA?
"Any deal" neno hilo tu limeonesha udhaifu wa kimsimamo kwa Hamas. Kifupi wanatamani vitaa iishe leo kesho.
 
"Any deal" neno hilo tu limeonesha udhaifu wa kimsimamo kwa Hamas. Kifupi wanatamani vitaa iishe leo kesho.
Hahaha wanajaribu kubadirisha maneno ili mabwana zao waonekana wajanja hahahah
 
Kama wanataka amani wapewe tu, hali inatia huruma. Ngoja kwanza baba lao iran ipate kifinyo mpaka iombe mkataba wa amani
Mbona watanzania wanaowa support Hamas wanasema , jeshi la Israel linapigika sana huko Gaza.
 
"Any deal" neno hilo tu limeonesha udhaifu wa kimsimamo kwa Hamas. Kifupi wanatamani vitaa iishe leo kesho.

".. that will lead to Israel withdrawal."

Nguvu ya hoja iko hapo. Kumbuka Israel hataki kuondoka Gaza milele.

Hamas hapo kaweka wazi:

"kama mapendekezo hayana Israel kuondoka, hawana haja nayo."

Wakiona kibeberu kilivyo ktamu kiasi cha kufaa zaidi mashuleni na mahakamani?
 
Iran naona anawashwawsshwa eti atampiga Israel So tuliza kishundu,Iran itapigwa mpaka majini yote yatoke
Binafsi huwa naamini Iran hana uwezo wakumpiga Myahudi, kwa jinsi Iran alivyo na chuki na Israel na kwa jinsi viongozi wake wengi na wawashirika wako walivyouwawa na Israel basi angeshampiga kitambo
 
Hahahha malamamqke jiji limekuwa majivu wafanyaje sasa.
 
Issue inahusu Israel na Palestine Uganda inaingiaje? wayahudi uganda inawahusu nini? Kuna historia gani hata ya kubumba tu inayoonyesha wayahudi asili yao ni Uganda? na ndo maana walikataa wakasema mchana kweupe Israel ndo kwao uganda waliikataa peupeee
Sasa kama walikuwepo tayari Palestina, Uganda walitaka kupelekwa kutokea wapi? Au vita ya uvamizi ya mwaka 1967 walikuwa wanaivamia Palestina wakitokea wapi?

Nikikwambia kwamba binadamu wote asili yao ni Afrika mashariki kwa mujibu wa ushahidi wa kisayansi (genomic mapping) utabisha?

Je itakuwa ni halali wote wakaja kutuvamia kisa ni asili yao?
 
Wayahudi walitaka kupelekwa Uganda? Ni dunia ndiyo ilitaka eti waende Uganda wao walikataa maana wanaijua nchi yao. wayahudi walitawanywa duniani na dola la rumi lililokuwa likitawala dunia enzi hiyo, na wengi sana wakawa wakiishi nje ya nchi yao sasa baada ya Hitler kuwauwa kwa wingi ndipo vuguvugu kubwa sana la wao kutaka kurudi kwao likapamba moto na hatimaye wakarudi kwao.
Kama unafuatilia historia yao vizuri utakuwa unajua kuwa waliwahi kwenda misri kumfuata yusufu na walirudi tena Israel baada ya miaka mia nne na thelathini kupita, vilevile waliwahi tawanywa na dola la babeli na baadae walirudi tena Israel.
Hivyo hamna cha ajabu hata kidogo wao kurudi kwao baada ya miaka 2000 kupita.
Kwamba binadamu wote asili yao ni Afrika mashariki hizo ni ngano tu za paukwa pakawa na sayanasi chakavu za kuwapatia watu PHD za mchongo hazina ushahidi wowote wa kihistoria.
 
Back
Top Bottom