HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

Sijuhi kwanini wazo hili la kwamba mateka wote wa Kiyaudi walishauawa linakataa kufutika kichwani mwangu!
Magaidi wa kizayuni waliotekwa na wanamapambano shupavu wapo salama na mahala salama ila kwa udhaifu wa idf na vyombo na mashirika yao tanzu yote ya israhell wameshindwa kuwakomboa
 
Halafu wajisalimishe wao wote na silaha zao ndipo Israel iwape masharti na maelekezo chini ya Usimamizi wa UN na Serikali halali ya nchi ya Palestina.
Sasa nadhani HAMAS wamejua na wameelewa kwamba Ubabe haulipi.
HAMAS kwisha habari yake
Wazayuni wa jf na tel avivu pamoja na viunga yake munatamani sana hamas wajisalimishe ila hilo jambo halipo suala nilile lile vita vipiganwe mpaka kiama ama uondoke Ghaza na kuwaachia mateka wa Ki palestina
 
IDF hata wakiregeshewa magaidi wao wakiwa kwenye Rambo hawatakua na laajabu saana ama jipya lolote la kunifanya hamas sana sana watalalamika na kutafuta huruma za watu tuuu
 
Na Uganda pia walikuwepo? Vita ya mwaka 1967 ilikuwa ya nini?
Issue inahusu Israel na Palestine Uganda inaingiaje? wayahudi uganda inawahusu nini? Kuna historia gani hata ya kubumba tu inayoonyesha wayahudi asili yao ni Uganda? na ndo maana walikataa wakasema mchana kweupe Israel ndo kwao uganda waliikataa peupeee
 
Israel , tupo chini ya miguu yenu, tunaomba mtusamehe, hatutarudia tena.
Iran na mataifa 38 ya kiarabu yamekuwa yakitudanganya yapo na sisi lakini vita ilipoanza wamekataa hata kuchukua wakimbizi wetu badala yake ni hawa hawa wazungu nddio wanatupokea.
Misri kafunga mipaka.Saudi kafunga mipaka, kila mmoja kafunga mipaka.

Netanyahu tuonee huruma!
 
Israel isijiinfize huu mkenge,kusain mkatava wa Aman na Hamas ni sawa Upinzani kukubaliana na CCM kuheshimu Sanduku la Kura.
Hamas inataka ceasefire ili ijipange upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…