Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Si kapigw akwenye miundombinu yake, wewe unasubiri tarifa kwenye TV ya Magaidi wa kiislamu Al Jazeera?Kipi kilizuia kumchapa kama Nguruwe mara ya mwisho?
Hamas hawajawai kubipuu, ndio maana mpaka leo bado wanapiganaIsrael 🇮🇱 ni taifa la vita miaka nenda miaka rudi! Lilianzishwa kwa vita linaishi kwa vita! Hawa nyau wa kubipu hawalojui taifa la Israel 🇮🇱
Umesoma hii habari? Hakuna mahali Hamas amekubali dili lolote lile ambalo vikosi vya Israel vitabaki Gaza, hili ndio sharti kuu la Hamas ndio maana huyo Gantz anataka Hamas alazimishwe , kitu ambacho HAKIPOSi kapigw akwenye miundombinu yake, wewe unasubiri tarifa kwenye TV ya Magaidi wa kiislamu Al Jazeera?
Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...www.jamiiforums.com
Upo wilaya gani hapo Galilaya?Israeli msikubali,hawa wafilisti waliwadanganya vivi hivi kipindi cha joshua,futa kabisa hao pimbi
Hii hapa hata lisaa halijapita wametoa Israel wenyewe ,Sharti lao Hamas ni lile lile Majeshi ya Israel yatoke GazaMoisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
View attachment 3139103View attachment 3139104
View attachment 3139108
Baada ya kugundua mfadhiri wao si lolote si chochote mbele ya IDF.Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 3139103View attachment 3139104
View attachment 3139108
"Any deal" neno hilo tu limeonesha udhaifu wa kimsimamo kwa Hamas. Kifupi wanatamani vitaa iishe leo kesho.Umeyaelewa vyema maneno haya lakini ndugu?
"Hamas is ready to discuss any deal that will lead to Israel withdrawal."
Au yale yale ya kwetu na lugha yetu na BAKITA?
Mbona watanzania wanaowa support Hamas wanasema , jeshi la Israel linapigika sana huko Gaza.Kama wanataka amani wapewe tu, hali inatia huruma. Ngoja kwanza baba lao iran ipate kifinyo mpaka iombe mkataba wa amani
"Any deal" neno hilo tu limeonesha udhaifu wa kimsimamo kwa Hamas. Kifupi wanatamani vitaa iishe leo kesho.
Binafsi huwa naamini Iran hana uwezo wakumpiga Myahudi, kwa jinsi Iran alivyo na chuki na Israel na kwa jinsi viongozi wake wengi na wawashirika wako walivyouwawa na Israel basi angeshampiga kitamboIran naona anawashwawsshwa eti atampiga Israel So tuliza kishundu,Iran itapigwa mpaka majini yote yatoke
Sasa kama walikuwepo tayari Palestina, Uganda walitaka kupelekwa kutokea wapi? Au vita ya uvamizi ya mwaka 1967 walikuwa wanaivamia Palestina wakitokea wapi?Issue inahusu Israel na Palestine Uganda inaingiaje? wayahudi uganda inawahusu nini? Kuna historia gani hata ya kubumba tu inayoonyesha wayahudi asili yao ni Uganda? na ndo maana walikataa wakasema mchana kweupe Israel ndo kwao uganda waliikataa peupeee
Wayahudi walitaka kupelekwa Uganda? Ni dunia ndiyo ilitaka eti waende Uganda wao walikataa maana wanaijua nchi yao. wayahudi walitawanywa duniani na dola la rumi lililokuwa likitawala dunia enzi hiyo, na wengi sana wakawa wakiishi nje ya nchi yao sasa baada ya Hitler kuwauwa kwa wingi ndipo vuguvugu kubwa sana la wao kutaka kurudi kwao likapamba moto na hatimaye wakarudi kwao.Sasa kama walikuwepo tayari Palestina, Uganda walitaka kupelekwa kutokea wapi? Au vita ya uvamizi ya mwaka 1967 walikuwa wanaivamia Palestina wakitokea wapi?
Nikikwambia kwamba binadamu wote asili yao ni Afrika mashariki kwa mujibu wa ushahidi wa kisayansi (genomic mapping) utabisha?
Je itakuwa ni halali wote wakaja kutuvamia kisa ni asili yao?