Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

Sio kweli dharau hizo, kwa ldd amini ulipambana wewe, makomando wa jeshi letu wapo morogoro kikos Cha ngerengere Kama hujui.
Sasa walioenda vitani si ni raia, wengi wakiwa ni wa kabila la wakurya kutoka mkoani mara...

Vita ya Idd Amini walikusanya raia na kuwapeleka vitani, hao unaosema ni makomandoo kazi yao ilikuwa kuendesha vifaru tu na kusoma ramani tu... Kazi kubwa ilifanywa na raia waliojitolea kwenda vitani.
 
DR Congo wanaouana ni wanajeshi tu?
 
DR Congo wanaouana ni wanajeshi tu?
Ndio maana pia Congo vile vikundi vinaitwa vya kigaidi...

Kikundi chochote kinacholenga kushambulia raia ni magaidi
 
Una

jua kwann israel inaipiga Palestine?? Au ndio umeanzisha bila kujua nn. Kinapiganiwa?
Chanzo kikuu ni kugombania ardhi, waisraeli wanadai hiyo ardhi waliokaa waarabu wa kipalestina ni mali yao toka enzi

Swali la kipuuzi sana hili ulilouliza
 
Hivi jeshi la zimamoto na uokoaji halina makomando? Kama linalo wanaokoa nini ikiwa si wanaotekwa na magaidi? Kuokoa maana yake ni kuokoa kwenye hatari zote na si kuokoa kwenye baadhi ya hatari tu. Ikitokea raia wametekwa na wanashikiliwa mateka na kikundi fulani cha kigaidi au kijeshi hiyo shughuli ya uokoaji iwahusu pia zimamoto, maana wanajiita zimamoto na uokoaji. Wanatakiwa wawe na makomando ili kufanya operesheni za uokoaji wa ina yoyote
 
Tukio la juzi la Kariakoo linathibitisha ni aina gani ya jeshi tulilonalo... Maduka yanaungua na ofisi za jeshi ziko hapo hapo karibu na bado maduka yakateketea... Jeshi letu la zimamoto shughuli kubwa ufanywa na raia
 
Na mtaendelea uawa kila siku
 
Wazee wa majambia. Allah akbar. Hivi wanavyosema vile ndio uislam unavyotaka au wanajiongeza?
Shida ya watu wengi huwa mnafocus na propaganda uchwara.
Mackenzie ameua zaidi ya watu 400 pale Kenya,Yale mauaji angefanya muislam mungesimamia ukucha kupiga kelele humu.
 
Hawa wajeda wetu ni wa kutunyanganya gwanda zao, na kututishia mitaani na buti zao... Hawa vita hawawezi.
Kwa ufupi ni kuwa watu wengi wa usalama ni wabovu sana
 
Wewe unadhani nani kaua watu wengi toka mzozo wa Israel na Palestine uanze miaka 60s.. Israel imefanya mauaji mengi sana Kwa wapalestina shida ya nyie watu ni unafiki mkubwa mlionao.
 
Mhaya kule DW_swahili unatumia jina gani kwenye kutoa maoni? Maana ulichokiandika hapa hakina tofauti na wale wachangiaji wa DW. Ni kama mnawachukulia Hamas kuwa hawana mipango wala mikakati na hawajui wanachokifanya.
 
Hamas tumieni akili ili kumshinda Israel.
 
Chanzo kikuu ni kugombania ardhi, waisraeli wanadai hiyo ardhi waliokaa waarabu wa kipalestina ni mali yao toka enzi

Swali la kipuuzi sana hili ulilouliza
Mpuuzi ni wewe ambaye hujui hiyo historia ya arthi ni nani. N mmiliki wa kweli
 
Hii vita haita kwisha mpka pale palestina itakapo pata haki yake, hakuna jambo zuri kama kufa huku ukipambania haki yako.
 
Asilimia 98 ya maisha ya wapelestina wanategemea Israel nimesoma Israel nimeona Kwa macho ,chakula ,maji,elimu Kwa wanaotaka kusoma ,umeme supplier ni ISRAEL,Je Israel ni wabaya kama mnavyo aminishwa.
 
Once unapokuwa muumini wa dini ile akili ya kufanya jambo kwa weledi na kuamua mambo hutoweka. Unafanya kiholela tu,
Wazungu na waarabu wamefanikiwa sana kututeka kwenye dini ndio maana tuna shabikia yasiyo tuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…