Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

Nafikiri target yao ni raia wa Israeli. Pengine, wakibaini mateka wao ni wao ni wa nchi nyingine, watawaachia. Vinginevyo, watakuwa wanajiongezea majanga. Hakuna nchi itakayokubali kirahisi raia wake kuuliwa au kuteswa bila hatia.
 
Alisikika kiongozi mmoja wa jeshi la kufikirika kutoka kwa nchi ya kufikirika akisema jeshi lao ni jeshi bora kabisa duniani 🤣🤣🤣
 
Upande wote wa Gaza hakuna raia... Raia wote waliambiwa kuondoka...
kama vipi raia wote waondoke ili kuifuta hamas katika utawala waingie fatah ya kina mahmoud abbas kidogo hao waliachana na mapigano wakawa ni wa mazungumzo ya amani tu bila vita
 
Kwa mantiki hiyo Israel jirani zao ni Misri Israel ni eneo la watu weusi walio lichukua kutoka kwa mababu zetu weusi
 
wapalestina shida yao nin kwan tuanzie hapo
 
Hivi wa Israel hawa ndio wale wa kwenye Bible kweli?
 
Hamasi hawana uhusiano na rais wao Abasi. Yaani kile ni kikundi cha kigaidi kama alivyo Mbowe na kikundi chake
 
Hawa wajeda wetu ni wa kutunyanganya gwanda zao, na kututishia mitaani na buti zao... Hawa vita hawawezi.
Na ni wabakaji walienda DRC wakabaka watoto wa kikongo wakakamatwa na kurudishwa kupambana na machinga mtaani 😄😄😄
 
Hamasi hawana uhusiano na rais wao Abasi. Yaani kile ni kikundi cha kigaidi kama alivyo Mbowe na kikundi chake
mkuu hapo kwa mbowe umechomekea tu kisiasa. Mbowe hana kundi kama la hamas. Mbowe ni mwanasiasa anayeongoza chama cha kisiasa chenye wanachama wengi nchi nzima. Chama anachokiongoza ni sawa na chama tawala
 
mkuu hapo kwa mbowe umechomekea tu kisiasa. Mbowe hana kundi kama la hamas. Mbowe ni mwanasiasa anayeongoza chama cha kisiasa chenye wanachama wengi nchi nzima. Chama anachokiongoza ni sawa na chama tawala
Ni Dkt Samia tu 2025!
 
Kwa hili jeshi la CCM hamna kitu ndugu, wao wanawaza kudhibiti upinzani tu ili wapate teuzi
 
Urusi huko Ukraine inapiga raia, inashambulia shule na hospital, inateka watoto, inavuruga ugavi wa chakula duniani ila bado inaungwa mkono na wafuasi wake.
 
Wewe unadhani nani kaua watu wengi toka mzozo wa Israel na Palestine uanze miaka 60s.. Israel imefanya mauaji mengi sana Kwa wapalestina shida ya nyie watu ni unafiki mkubwa mlionao.

Hawaoni hayo acha palestine apigane na bora vita isiishe watakuja wengine zaidi ya Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…