MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #101
Tatizo huwa mnadhani wapelestina wote waislam,mwandishi Abu akleh aliyeuwawa na Israel ni mkiristo,Kuna wakiristo palestina
Uwe Mkristo, Muislamu, Budha au yeyote kaa ukisubiri mapigo ya kiwaki waki kama ikitokea hayo magaidi wamejificha kwako baada ya kushambulia Israel. Mnapaswa kufahamu lile taifa ni balaa, huwa wana visasi sana, kumwaga damu ya Myahudi watakuwinda hadi kuzimu, waulizeni Wajerumani wa NAZI waliowindwa hadi Argentina.