HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

Title inasemaje
Huu hapa wa Ritz, nilikosea kusema wa The Boss:

Huu hapa wa Ritz, nilikosea kusema wa The Boss:

Ndio maana nakupendaga Faiza
 
HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa hili tatizo kwa miaka 50 ijayo.
===============================

The radical Palestinian movement Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel, but has no intention of negotiating the fate of hostages while hostilities continue. It said the hostages included "dozens of people with dual citizenship".

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu, in an address to the nation, compared Hamas members with Islamic State (IS or ISIS, an organization banned in Russia) terrorists and vowed to defeat them "just like the enlightened world defeated ISIS."

TASS has gathered the main information about the conflict so far.

What conflicting sides say​

Hamas representatives are "open to discussing a ceasefire with Israel," the movement said in a statement quoted by Al Hadath TV. At the same time, Hamas said it would not "negotiate prisoners under fire."

In an address to the nation, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu compared Hamas to the Islamic State, insisting: "This enemy wanted war and this this is what they will get." Earlier, Israeli Foreign Ministry spokesman Lior Hayat said his country would not hold negotiations with Hamas and considered them impossible because of the declared state of war.
[emoji1146][emoji3538][emoji1134][emoji3517] Kamanda mwingine wanamgambo wa Israel kauwawa.... Another high-ranking member from the IDF: the deputy commander of the Baram brigade, Lieutenant Colonel Alim Abdallah, was killed on the border with Lebanon.

[emoji837] @DDGeopolitics
IMG_20231010_163243_686.jpg
 
Sasa wameona hawana pa kuchomokea ndipo wanaanza kuomba msamaha.... Unaanzishaje vita usiyoiweza....

Lengo la Israel ni kuichukua ardhi yote ya Palestina, Hamas walijichanganya kuingia cha kike, ule ulikuwa ni mtego. Sasa wanachukua ardhi yote ya Gaza
Na wewe kwa kutojitambua unashabikia uvamizi wa muda mrefu wa Israel kwenye ardhi ya Palestina...wakati huo huo bila shaka unalaani uvamizi wa Russia katika ardhi ya Ukraine!.... a double standards.
 
[emoji1146][emoji3538][emoji1134][emoji3517] Kamanda mwingine wanamgambo wa Israel kauwawa.... Another high-ranking member from the IDF: the deputy commander of the Baram brigade, Lieutenant Colonel Alim Abdallah, was killed on the border with Lebanon.

[emoji837] @DDGeopoliticsView attachment 2777846

Naomba maustadhi muingie kule Telegram aisei mnaweza mkajilipua mabomu hapo mlipo kwa mtakachoona kule, mimi mwenyewe ni shabiki wa Israel lakini sio kwa jinsi wanachokifanya, huu ushabiki wenu mngelijua yaani tu.
 
Channel gani telegram
 
Mimi huko sipo lakini, njia inayotumiwa na na hao HAMAS, ni ya kuwaumiza wananchi wa kawaida tu, Huwezi ukaendelea kutumia njia ile ile ukitegemea matokeo tofauti ni ujinga.
Ombaomba hafilisiki ndugu yangu! na muogope sana ambae hana cha kupoteza! Mtumwa mpigania uhuru hana cha kupotena.

Hivi unajua media za ulaya walikuwa wanatangaza nini kuhusu waSouth Africa walipokuwa wanapambania uhuru wao dhidi ya makaburu? walikuwa wanawaita waasi!!! hakuna tofauti na leo hii HAMAS wanaopambania uhuru wa raia wao wanapoitwa magaidi.
 
Hivyo vikundi vya Hazibullah na Hamas havina safari ndefu...

Vinaendelea kuifanya Israel kuzidi kuchukua ardhi ya Palestina. Israel haijawahi kushindwa vita tangu warejee nyumbani kwao, waarabu wanakula kichapo tu... Misri nae alichezea kichapo tu
Vita vya 2006 vya Israel na hizbullah vilikuwaje!?..au ulikua unaoga nje bado!?.. Israel Mara zote wamekua wakisaidiwa na mabwana zao uingereza na ufaransa na Sasa USA..si umeona USA wameogeza meli kubwa ya kivita kuliko zote duniani!?
 
Tatizo huko kwa madrassa hamfundishwi ilmu ya dunia "Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel"....
Isarel wanaendelea kusambaratisha

sddefault.jpg
Waisrael kelele tu,waume zao wamesogeza meli kubwa zaidi ya kijeshi na watawapa msaada wa silaha, intelligence hovyo..watu walipiga mpaka kuchukua miji
 
Wacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya matekwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.

jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US hatarudisha mashambulizi.

Hazibullah akawatwanga wa Israel hakuchukua hata nusu saa, camp mbili za Israel zikashambuliwa sijui waisrael wangapi wamekufa Israel hasemi, labda wengi tu wamekufa.

Israel aka fyata mkia aka kaa kimya hakujibu mapigo ya Hezbullah, walldhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US [emoji23]

Hezbullah hawaogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict
israel hasemi ila habari umeipata [emoji23][emoji23]
 
[emoji23] poleni sana kichapo mlichokipata mpaa US na Europe Union wamechanganyikiwa.

Israel hana jipya vifaru vitaishia kwenye maonyesho tu havita nusa Gaza.

Israel watakacho fanya ni kuvunja majumba tu na kufunga maji na umeme wanadhani wakiwakatia hivyo vitu wale jamaa wa Gaza wataitia pressure Hamasi asimamishe vita [emoji23]
waislam mnajuwa kujifarij , mkipigwa ngumi 50 bas nyiny mkipiga moja mnashagilia htr
 
Majeshi ya ufaransa yameshaingia Jerusalem, majeshi ya Marekani yameshaingia ukanda wa pwani ya Gaza.

Siamini kama Hamas wafanye hivyo ingawa kwa silaha zao za tabata.

Wamelizuwia jeshi zima la wayahudi kwa siku tatu, mpaka wayahudi wameomba msaada kwa mabwana zao.
Jeshi la saudia lenyewe limeingia pande gani maana israel ,marekani na saudi arabia wote lao moja
 
Ground offensive Gaza ni suicide mission. Hamas wamejindaa homegroud or rather home underground.
 
Wacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya matekwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.

jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US hatarudisha mashambulizi.

Hazibullah akawatwanga wa Israel hakuchukua hata nusu saa, camp mbili za Israel zikashambuliwa sijui waisrael wangapi wamekufa Israel hasemi, labda wengi tu wamekufa.

Israel aka fyata mkia aka kaa kimya hakujibu mapigo ya Hezbullah, walldhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US 😂

Hezbullah hawaogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict
Yaani tunavyoshabikia utadhani tuna angalia sinema ambapo hakuna real victims. Ukipenda humanity huwezi kuwa na side kwa yanayotokea huko.
Tuwaombee amani hao binadamu wenzetu.
 
Ground offensive Gaza ni suicide mission. Hamas wamejindaa homegroud or rather home underground.

Wanafumuliwa kwa kutumia carpet bombing, kuna aina ya mabomu yenye uwezo wa kuwatoa kwenye mahandaki.
 
Back
Top Bottom