HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

Tatizo huwa mnadhani wapelestina wote waislam,mwandishi Abu akleh aliyeuwawa na Israel ni mkiristo,Kuna wakiristo palestina

Uwe Mkristo, Muislamu, Budha au yeyote kaa ukisubiri mapigo ya kiwaki waki kama ikitokea hayo magaidi wamejificha kwako baada ya kushambulia Israel. Mnapaswa kufahamu lile taifa ni balaa, huwa wana visasi sana, kumwaga damu ya Myahudi watakuwinda hadi kuzimu, waulizeni Wajerumani wa NAZI waliowindwa hadi Argentina.
 
😂 wacheni uwongo Hamasi silaha zake haziko kwenye majumba zipo underground hio kupiga majumba ni dalili ya udhaifu ya Israel anafikiria nikiwau wananchi Hamasi atakubali kusimamisha vita.
Weww huna akili kabsa 🤣🤣🤣
 
Walizuia jeshi au kuteka watoto, wa mama na raia wema wengine. Pumbavu kabsa
 
Bila marekani na uingereza Israel ni Nigeria ya mashariki ya kati, battle hawawezi,nasikia taleban wanataka kwenda palestina kukiwasha,na iwe kweli
 
Bila marekani na uingereza Israel ni Nigeria ya mashariki ya kati, battle hawawezi,nasikia taleban wanataka kwenda palestina kukiwasha,na iwe kweli

Vipi waarabu wenu na mkuu wa magaidi Iran wote wanaangalia pembeni hawajui la kufanya hehehe
 
Eti Israel hakujibu mapigo !! Endelea kuwadanganya wavaa kobazi wenzio safari hii mtaongea maneno yote ila lazima mtiwe adabu vya kutosha.
 
Katombwe
 
Vipi waarabu wenu na mkuu wa magaidi Iran wote wanaangalia pembeni hawajui la kufanya hehehe
Unadhani Hamas hupewa mafunzo na silaha na nani!?..Waziri wa ulinzi wa Israel kawaambia wanajeshi wanatakiwa kuingia Gaza kwa miguu,sura za askari zimejaa woga,Wacha waende tuone
 
Eti Israel hakujibu mapigo !! Endelea kuwadanganya wavaa kobazi wenzio safari hii mtaongea maneno yote ila lazima mtiwe adabu vya kutosha.
Dogo leo Hezbullah kawauwa wanajeshi wa Israel na kule Lebanon sa ivi kimya
 
Unadhani Hamas hupewa mafunzo na silaha na nani!?..Waziri wa ulinzi wa Israel kawaambia wanajeshi wanatakiwa kuingia Gaza kwa miguu,sura za askari zimejaa woga,Wacha waende tuone

hehehe watu wanauawa kwa mabomu huku miarabu ikikaa na kushangaa shangaa pembeni.
 
Hao Hamas ni wapuuzi kweli kweli! Damu zimemwagika; mali zimeharibika; uchumi na maisha kwa ujumla vimesambaratika! Death to Israel! Majinga ya kiwango cha mwisho!
Bange mbaya...
 
Wee jamaa naiona ashki majunun ndani yako!
Unaelewa maana ya Siege!
Huna Maji, chakula, dawa, umeme mafuta...
Huoni hapo hamas wamekwisha
 
Wee jamaa naiona ashki majunun ndani yako!
Unaelewa maana ya Siege!
Huna Maji, chakula, dawa, umeme mafuta...
Huoni hapo hamas wamekwisha
Hao hata mfunge kila kitu hamuwashindi dalili Israel anaogopa kuingiza miguu yake Gaza.

Sa ivi America anaomba chini kwa chini vita iishe sababu Israel hana ubavu wakwenda zaidi ya hapo ataishia kurusha maboom tu hilo boom moja unajua cost yake ngapi?

US anapokea kipigo takatifu kila kona kuanzia Iraq, Syria na karibu atapokea kutoka Yemen na Lebanon
 
Majadiliano ya Nini hawataki kuwahi bikira 72 na mvinjo Tena.
 
Hakunaga majadiliano na gaidi gaidi inatakiwa awahishwe haraka kuzimu akawahi bikira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…