Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Waangamizwe tu hao HAMAS.View attachment 2846212
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Na balozi wao hapa Tanzania hatumtaki aende akaungane na magaidi wenzake wapigwe mabomu vzr.Kumbe wanakubali mauaji ya ndugu zetu huko Israel yamefanywa na hamas. Basi hawa hamas rasmi wametangaza vita na ulimwengu, na hakuna kundi la kigaidi lilowahi kushinda vita dhidi ya walimwengu.
KWANZA CHAPISHO ULILOWEKA LIPO NJE YA MADA..View attachment 2846212
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Umeongea pointi mkuuWanadhani kila Raia wa kigeni anaifahamu kwa undani historia ya mgogoro wao na israel. Humo humo israel kwenyewe kuna wasioiunga mkono hiyo vita. Mbona hatukusikia wameteka ama kuwaua wapalestina waliokuwa wakiishi israel? Kitendo cha mtu kuwepo israel hai justify hicho wanachowafanyia. Hawana akili ndiyo naama wametoa sababu ya kipuuzi sana isiyokuwa na mashiko.
Hamas haina balozi mkuuBalozi wa Hamas nchini afukuzwe
na juzijuzi tu walipewa barakaKWANZA CHAPISHO ULILOWEKA LIPO NJE YA MADA..
NA HIYO HAIWI SABABU YA MDOGO WANGU MOLLEL KUUAWA NA KISASI KINAENDELEA KULIPWA NA IDF HUKO GAZA NAONA KUPITIA AL JAZEERA TV...
NB: TAIFA HARAM KWA WAARABU NA WAISLAMU...ILA KWA WAKRSTO WA MADHEHEBU YOTE NA WAYAHUDI NI TAIFA LILILOBARIKIWA
Yule aliyekuwa anawatetea pale Clouds TV ni Balozi wa Egypt?🐼Hamas haina balozi mkuu