Tuache mahusiano na israel ni taifa la kikaburu tu.View attachment 2846212
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
anzisha mada yako, mada hapa juu haihusiani na ulichopost. mkiambiwa hamna akili mnaanza kusema alah akbaru.Wayahudi walikaribishwa palestina kama wakimbizi. Leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi. Ukiuliza eti unaambiwa ni Mungu wao alisema . Foolish
View attachment 2846333
🤣🤣🤣 inakuchoma eeh? Vumilia sindano iingie hampendi kuambiwa ukweli nyie watu.anzisha mada yako, mada hapa juu haihusiani na ulichopost. mkiambiwa hamna akili mnaanza kusema alah akbaru.
Huyu nae ati kaingia chimbo kashuka na madinianzisha mada yako, mada hapa juu haihusiani na ulichopost. mkiambiwa hamna akili mnaanza kusema alah akbaru.
Mbali na ugaidi!! hauwezi kuwa upande ule halafu ukawa na akili timamuKwa hiyo kauli yao, hao magaidi hawaoni wamejigeuza kuwa maadui na nchi zote zenye raia wao ndani ya Israel?
Ajabu kuna wajinga wanaotetea ushetani unaofanywa na hawa magaidi, wakati wao wenyewe wanakiri kuua raia wasio raia wa Israel, tena wasio na hatia.
amas ni kundi lenye wanachama wajinga sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. FoolishAkili za waislamu ni za kipumbavu sana!
Mbona wa palestina kibao walikuwa wanafanya kazi huko israel?
Ina maana nao wameuawa?
Israel wahisha hiyo mitaahira kwa mabikra 72
Balozi wa PalestinaYule aliyekuwa anawatetea pale Clouds TV ni Balozi wa Egypt?🐼
Basi na sisi tuwa fukuze Wapalestina wote huku kwetu. Hawana adabu
Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel
Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia wa nchi nyingine wasiwe wanaendelea kukaa huko,
Msemaji wao ameongeza kuwa raia wa kigeni kwenda Israel kwa ajili ya shughuli yoyote ni kama anaunga mkono taifa hilo haramu na hivyo naye ni muhusika kwenye vita yao isiyoisha dhidi ya Israel
Mas*nge tu

Sasa kama unabisha kuhusu huo mpango, ilikuwaje mkimbizi uliyemkaribisha under your control aka-overturn na kuwa boss wa nchi yako? Una uhakika kwanye hili umeshirikisha akili?Unawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. Foolish
Kati ya nchi zote ambazo zinaiunga mkono HAMAS na Palestine hakuna hata moja ambayo itabadili msimamo. Hata Tanzania haipo tayari kubadili msimamo wake wa kuiunga mkono HAMAS. Ipo tayari iwe kinyume cha Israel iliyo walinda mamia ya raia wake wanafunzi, kuliko kuisaliti HAMAS iliyowaua raia wake.Kwa hiyo kauli yao, hao magaidi hawaoni wamejigeuza kuwa maadui na nchi zote zenye raia wao ndani ya Israel?
Ajabu kuna wajinga wanaotetea ushetani unaofanywa na hawa magaidi, wakati wao wenyewe wanakiri kuua raia wasio raia wa Israel, tena wasio na hatia.
Hamas ni kundi lenye wanachama wajinga sana. Kutumia utetezi ukiwemo Nyerere kuwaunga mkono Palestina, au Vita ina collateral damage, na mwingine wowote ni ujinga mtupu, mbona hatujaskia Israel wakiwaua raia wasio wa nchi yao?
- Kwanini hao magaidi wa Hamas wasiwe wanatoa ultimatum, kwa raia wasio wa Israel kuondoka kabla hawajaanza kuwateka na kuwaua?
Huo utetezi wa collateral damage unathibitisha Hamas ni wendawazimu, ningeuelewa kidogo endapo bomu lingetupwa sehemu liue mpaka raia wasio husika, lakini sio kuwachagua kabisa, kisha kuwapiga risasi individually. Never.
Vita haina macho, lakini wanaoipigana wana macho, tusifiche maovu ya hao wahuni kwa sababu zozote, wakemewe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wanazidi kupandikiza chuki kwa mataifa mengine dhidi yao. Ni bora mara sabini wangenyamaza tu japo inanimate kuona serikali hadi sasa inamuacha Balozi wa Palestina. Inauma.na kushangaza sana.Wanadhani kila Raia wa kigeni anaifahamu kwa undani historia ya mgogoro wao na israel. Humo humo israel kwenyewe kuna wasioiunga mkono hiyo vita.
Mbona hatukusikia wameteka ama kuwaua wapalestina waliokuwa wakiishi israel? Kitendo cha mtu kuwepo israel hai justify hicho wanachowafanyia.
Hawana akili ndiyo maana wametoa sababu ya kipuuzi sana isiyokuwa na mashiko.
Acha uongo kijana. Israel ipo hapo kitambo sana. Palestina imewakuta Israel hapo. Hizo story zenu za kuunga unga ndiyo mmezikumnatia.Unawafanyishaje watu kazi kwenye nchi yao? Wayahudi waliingia palestina kama wakimbizi 1947 leo hii wale waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi . Ukiuliza eti Mungu wenu ndio alisema. Foolish