Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Ila Israel kuua wanawake na watoto na kufungia jela watoto umri chini ya miaka 12 ni sawa!?
Au ndivyo Ukristo na Yesu Nazareth alivyofundisha!?
Hao watoto unaosema Israel kaua naomba list ya majina yao.. maana Wizara ya Afya ya Hamas imeulizwa imeshindwa kutoa and mwisho wakapunguza idadi yaani uongo unaolazimishwa kwa Jamii ya wajinga wanaubeba hivyo hivyo... Sinwar kasema vifo vya raia kwao ni kafara tu.. hawajali... ndio ujue nani anawaua hao wake zao na watoto feki... picha halisi za Gaza wanaonekana hawana shida yeyote ila vyombo vya habari vya Allah unaweza sema kesho Gaza nzima inakufa kwa Njaa na sjo risasi au bomu..

Yesu hakusema gaidi akija kukuua umtizame tu... piga upanga... ila kama kofi mgeuzie shavu lingine.

Uzushi wa kufunga watoto wenye miaka miwili kaambianeni msikitini mnakofundishana chuki...

Ila Hamas ndio kateka mama na mtoto wake wa chini ya mwaka na mwingine miaka 3 au nne wamemrekodi wanamuambia kabla hajala aseme Busmillah
 
Vyombo vya kimataifa kikiwemo UN/UNRWA ndivyo vilivyotoa ripoti ya vifo vya watoto na kinamama na wala sio Hamas.
Usituletee propaganda zingine zisizo na kichwa wala miguu.
 
Bado unarudi pale pale🤣🤣🤣🤣🤣.
Mkuu ukiambiwa ukweli unadai watu wanapotosha.
NAKUPA HOMEWORK,KAFUATILIE KIPINDI YAIR LAPID AKIWA KIONGOZI Gaza na Israel walikua wanaishije!?
Kipindi Netanyahu alipokua anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi ambapo Lapid alikua interim leader GAZA NA ISRAEL kulikua na amani acha ubishi we jamaa.
Kuna maelfu ya waGaza waliajiriwa kusini mwa Israel sana sana Ashkelon.
Na kuna wazayuni wengi waliwekeza Gaza mzee acha ubishi bro.
Ila Netanyahu aliporudi madarakani matukio yalianza tena ya vurugu kati ya Israel na Palestina.
Na Hamas hawakuwahi kujirushia hovyo makombora Israel mpaka IDF itakapowachokoza usitudanganye.
Hakuna taifa la kiarabu lililotaka kuifuta Israel.
We unaongelea kauli ya Ahmedinajad rais wa zamani wa Iran aliyetoa tamko hilo ila sio waarabu wote.
Ingelikua nia yao kuwaua Israel basi tokea 1947 wangekataa kuwapa mipaka.
Na 1946 wapalestina chini ya British Palestine mandate wasingewasamehe wayahudi wa Jerusalem waliojaribu kufanya mapinduzi.
Siku zote waarabu walikua wanataka Palestina itambulike kama taifa.
Kama wangetaka kuifuta Israel wangeanza kuwaua wayahudi waliokua wanaoishi Jerusalem kabla ya 1945.
SIJUI HUU UONGO BRO UNAUTOA WAPI!!??

Netanyahu aliporudi madarakani vurugu zake zimechochea raia kuamsha tena maandamano ya kumtaka atoke madarakani.
Asingefadhili Israel settlers kuwapiga bedui Jenin basi Oktoba 7 isingetokea na Galilee isingekua ghost city sasa hivi.
Mkuu nenda katafute mzozo wa Palestina na Israel kuanzia 1946 naona hapa tutabishana halafu hakuna unachoongea sahihi.

Aljazeera haijapigwa marufuku Egypt,ukitaka nakuletea news coverage walizofanya Aljazeera ndani ya Egypt.
Kikao cha Arab Peace Summit kilichofanyika Cairo Aljazeera walikuwepo na wakarusha matangazo.
2013 kuna waandishi wa habari ambao waliokua wanaripoti kuhusu Mohammed Morsi walikamatwa,hapo ndio kulikua na mzozo baina ya Egypt na Aljazeera.
ILA HAKUNA TAIFA LA KIARABU LILILOIFUNGIA ALJAZEERA.
Naona mkuu unaongea usichokijua.
Tuzo waliyopata ilianzishwa na Mmarekani na inatolewa na Marekani.
[/QUOTE]

Unaandika stori ndefu sana lakini ukweli unaujua ila kwa vile kilichokusudiwa tarehe 7 kimebackfire watu kama wewe mnajitokeza kupotosha na kuonyesha kulikuwa na amani na katika kukufuatilia umekuwa unatumia sana settlers wa huko West bank kwamba ndo wamepelekea tukio kitu ambacho ni uongo. Haiingii akilini wateswe west bank hamas ambao wapo gaza wafanye hilo tukio lakini westban wasifanye. Acheni kutengeneza propaganda kumhusu Netanyahu, anapambania waisrael kama ambavyo mnadai hamas wanapigania wapelestina.
Tofauti ni kwamba waisrael wanapenda maisha ila nyie mnakuwa brainwashed kwamba maisha hayana maana ndo maana hamas hata hawajali ndugu zao wanavyotaabika.

Kama kulikuwa na amani kipindi unachokisema kwanini hamas walikuwa wanajenga mahandaki badala ya kuboresha maisha ya wapelestina? Walikuwa wanajiandaa na vita ya nini wakati kuna amani? Acha upotoshaji wako na kinachokusumbua ni udini na huu mgogoro unaonyesha sura halisi ya hizo dini zenu za kuiga.

Ukweli ni kwamba mgogoro wa huo siyo wa kudai uhuru bali ni wa kidini kwa asilimia zote ndo maana unakosa usuluhishi. Watu wamejificha nyuma uhuru ili kusukuma ajenda ya kidini kupitia raia wasio na hatia.

Kuhusu Al Jazeera kufungiwa unajitoa ufahamu tu, kwa sasa unaona hivyo ni kwa sababu ndo yupo nyuma ya kinachoendelea huko Gaza na ndo mashine za propaganda za huo mgogoro. Lakini ukweli unajulikana kwamba Al Jazeera kupitia Qatar ndo wanafadhili brotherhood ambayo kwa nchi kama Egypt imepigwa marufuku.
[/QUOTE]
Kijana huna unachojua.
1)Hamas kaanza kujenga mahandaki lini??
2)Una ushahidi gani Qatar anafadhili brotherhood!??
3)LETE USHAHIDI WA ALJAZEERA KUFUNGIWA NCHI ZA KIARABU?

Unaogea blaaa blaaa blaaa.
You are tarnishing my prestige you dunderhead!?
Sheriin Abu Akleh aliuliwa wapi kama sio Gaza!!??
Hivi haujui kama Hamas wapo ndani ya Occupied westbank na ndani ya PLO!?
Hivi haujui kama washika silaha wa Westbank Islamic Jihad na Al qassam brigade ni miongoni mwa brigade za Hamas!!??
Hivi haujui kama Palestina inajumuisha GAZA NA WESTBANK!!??
KUMBE NAONGEA NA JITU JINGAE!???
HAKUNA KITU KINAITWA BROTHERHOOD.
KULIKUA KUNA CHAMA CHA SIASA CHA EGYPT KIKIONGOZWA NA MORSI KINAITWA MUSLIM BROTHERHOOD NA KISHAKUFA BAADA YA ELSISI KUMPINDUA MORSI.
ANAYEFADHILI MAKUNDI MIDDLE EAST NI IRAN SIO QATAR.

Embu ngojea nije na ushahidi nikukate ngebe.
 
Wafuasi wa hamas kwa kujipa matumain tu hamjambo
 
[/QUOTE]
Ndo maana nasema wewe ni moja ya wapotoshaji. Waisarel wamekuwa wakiandamana kabla ya vita wakitaka Netanyahu aondoke madarakani kutokana skendo zake zinazomkabili na kumbuka serikali ya israel ni muungano kutoka vyama mbalimbali vikiwemo vya mlengo wa kulia ambavyo vina msimamo mkali.

Israel na hamas hawajawahi kuishi kwa amani na waisrael wamekuwa wakikumbana na maroketi ya hamas mara kadhaa ndo wameweka mfumo wa ulinzi.

Unaandika maneno mengi ila ukweli ni kwamba hakutakuwa na amani labda mmoja wapo anyanyue mikono juu hasa hamas wakubali kuishi kwa pamoja na wayahudi na waachane na mawazo ya Iran na muslimu brotherhood kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Vilevile wapelestina wakatae kukubali kutumiwa kama sadaka ya kudai mskiti wa Al Aqsa na Jarusalemu tofauti na hapo hakujawahi kuwa na amani kati yao na haitokaa iwepo. Hakuna taifa lolote litakalokubali kuwapa uhuru watu ambao lengo lao ni kuliangamiza hilo taifa hiyo haipo.

Kuhusu Al Jazeera kufungia, pamoja na kusema sijui kitu ni sawa, ila Al Jazeera imepigwa maruku Egypt tangu 2013, Saudia, Jordan, Bahrain, UAE n.k.
Hizo tuzo za kimataifa inategemea zinatolewa na, kumbuka kwa nchi za magharibi Al Jazeera haina huo ubora unaousema.

Ninaweza nikawa sijui kitu, ila wewe unaejua unatumia vibaya unayoyajua kupotosha.
[/QUOTE]
Aljazeera haikufungiwa Egypt na haijafungiwa popote.
Sababu za Aljazeera kuingia ugomvi na Egypt ilikua kukamatwa wana habari wake na wamegundulika hawana hatia.
 
Ila wewe jamaa ni moja ya wapotishaji wakubwa hasa kuhusu suala la mgogoro wa wayahudi na hamas
Hii habari ya 2022 kipindi Lapid anaiongoza Israel.
Alikua katika mchakato wa kuleta amani ya kudumu kabla Netanyahu hajarudi madarakani na kutibua tena amani.
Embu soma hiyo article.
 
Could be anything hata wapo wanaweza andamana kutaka haki za mashoga. Does it means we unakubaliana na ushoga? Ni uhuru tu wa watu
Mkuu,kwa sababu walizotoa waandamanaji wa Israel kuhusu kusitisha vita je zina mashiko ama hazina!?
 
Ila wewe jamaa ni moja ya wapotishaji wakubwa hasa kuhusu suala la mgogoro wa wayahudi na hamas
Tuzo alopokea Aljazeera mwaka huu imetolewa na Wamarekani sio waarabu.
Tena nimekuzungushia kabisa uone hapa na alama nyekundu waliotoa tuzo ni kina nani.
 
Sababu wanazotoa mashoga kuandamana zina mashiko ama hazina?
Tuanze kuzichambua zote kesha tuone.
Sababu za Israel;
1)Kurudi salama kwa mateka.
2)Kupatikana amani ndani ya Israel.
Aya lete sababu za mashoga tuzipime kama ni za mantiki kama hizi.
 
Tuanze kuzichambua zote kesha tuone.
Sababu za Israel;
1)Kurudi salama kwa mateka.
2)Kupatikana amani ndani ya Israel.
Aya lete sababu za mashoga tuzipime kama ni za mantiki kama hizi.

Sababu zao na umantiki wa kitu ni subjective.
 
Nimekuuliza unajua mahandaki yamejengwa lini!?
Hukunipa jibu,au unapenda ujibiwe wewe tu!?

Una uthibitisho gani kama waarabu wanawaingilia wayahudi!?
Kama wanawaingilia wayahudi kwanini walikubali kugawana nao mipaka 1947 na kuwapa Jerusalem kama wanavyotaka!?
Unataka ujibiwe ila wewe hutaki kujibu maswali.

Lapid alileta amani baina ya waisrael na wapalestina,Waisrael wamechoka kukimbia hovyo ndani ya nchi yao wenyewe.
Unajua hasara kiasi gani wamepata walipokimbia Galilee na kuacha mji na biashara zao kisa hizo vurugu zilizoanzishwa na Netanyahu za tamaa ya kupanua nchi!?
 
Sababu zao na umantiki wa kitu ni subjective.
Sio kila jambo subjective lina mantiki.
Suala la waisrael kudai kusitisha vita ni la wote ni la mustakabali wa kizazi cha Israel ijayo.
Israel ya sasa ishaanza kugeukwa mpaka na wazungu mathalan Norway na Spain.
Anti-semitism imekua kubwa toka Oktoba 7 ianze,je kizazi kijacho kitaishije kwa namna hii!?
Israel ina maadui majirani kila kona Palestina,Syria,Lebanon n.k n.k,je hili jambo jema.
Hilo suala la ushoga ni personal perspective tena ni immoral na unhealthy,inaharibu nguvu kazi za kiume,inaharibu mababa wa baadae inamaana inaweza leta population decrease,inaharibu maumbile na hata kuleta saratani ya huko unakoingiliwa.

Pima mwenyewe mkuu kesha uone kipi kina mantiki.
 
Sasa bro mbona kama unaropoka!?
Kwa namna hii mjadala utaendelea kweli!?
Nimekuletea mpaka ushahidi unadai kuwa ni habari zangu binafsi!?
Kwahiyo Yair Lapid alikua anaongea utumbo hapo!?
Bro mie huwa napenda majadiliano sipendi UBISHANI WA KITOTO.
WACHA NIKU BLOCK NIJADILIANE NA WANAOJIELEWA.
Kwaheri.
 
Vyombo vya kimataifa kikiwemo UN/UNRWA ndivyo vilivyotoa ripoti ya vifo vya watoto na kinamama na wala sio Hamas.
Usituletee propaganda zingine zisizo na kichwa wala miguu.
View attachment 3015483View attachment 3015484View attachment 3015485
Hivyo Vyombo vyote ulivyoleta ni Maadui wa Israel and nikufahamishe kuwa Arabs under 18 ni wakubwa and wanafanya kila uchafu hadi kuua.. hawawezi achwa et kisa under 18 wanaua Waisrael... and kingine hivyo vyombo wanaleta ujinga na uongo na sourse zao ni from Hamas na PA unategemea nini hapo ndio maana Israel hapokei ujinga kutoka kwa watu wanaotaka ashindwe.. Israel anategemea Mungu nyie na Shetani wenu hamtokuja kuidhurumu Israel kwa vyovyote hadi kiama chenu.. Trust me
Sasa hivi muwe mnakuja na ushahidi wa picha za hao watoto na kina mama wanaouliwa au wamekamatwa kwa makosa yepi... maana mnajitikasa as if wanaonewa... Israel han ugomvi na mtu ila chuki za muslim ndio tatizo.


And hao watoto ndio hawa kama michokoraa cha Ngulero kurusha mawe kwenye magari

View: https://www.youtube.com/watch?v=MxzSQ47xWgYKameshikwa kanalia eti kameonewa wajinga jf wanalalamika vitoto vya iblis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…