Ndo maana nasema wewe ni moja ya wapotoshaji. Waisarel wamekuwa wakiandamana kabla ya vita wakitaka Netanyahu aondoke madarakani kutokana skendo zake zinazomkabili na kumbuka serikali ya israel ni muungano kutoka vyama mbalimbali vikiwemo vya mlengo wa kulia ambavyo vina msimamo mkali.
Israel na hamas hawajawahi kuishi kwa amani na waisrael wamekuwa wakikumbana na maroketi ya hamas mara kadhaa ndo wameweka mfumo wa ulinzi.
Unaandika maneno mengi ila ukweli ni kwamba hakutakuwa na amani labda mmoja wapo anyanyue mikono juu hasa hamas wakubali kuishi kwa pamoja na wayahudi na waachane na mawazo ya Iran na muslimu brotherhood kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Vilevile wapelestina wakatae kukubali kutumiwa kama sadaka ya kudai mskiti wa Al Aqsa na Jarusalemu tofauti na hapo hakujawahi kuwa na amani kati yao na haitokaa iwepo. Hakuna taifa lolote litakalokubali kuwapa uhuru watu ambao lengo lao ni kuliangamiza hilo taifa hiyo haipo.
Kuhusu Al Jazeera kufungia, pamoja na kusema sijui kitu ni sawa, ila Al Jazeera imepigwa maruku Egypt tangu 2013, Saudia, Jordan, Bahrain, UAE n.k.
Hizo tuzo za kimataifa inategemea zinatolewa na, kumbuka kwa nchi za magharibi Al Jazeera haina huo ubora unaousema.
Ninaweza nikawa sijui kitu, ila wewe unaejua unatumia vibaya unayoyajua kupotosha.
Bado unarudi pale pale🤣🤣🤣🤣🤣.
Mkuu ukiambiwa ukweli unadai watu wanapotosha.
NAKUPA HOMEWORK,KAFUATILIE KIPINDI YAIR LAPID AKIWA KIONGOZI Gaza na Israel walikua wanaishije!?
Kipindi Netanyahu alipokua anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi ambapo Lapid alikua interim leader GAZA NA ISRAEL kulikua na amani acha ubishi we jamaa.
Kuna maelfu ya waGaza waliajiriwa kusini mwa Israel sana sana Ashkelon.
Na kuna wazayuni wengi waliwekeza Gaza mzee acha ubishi bro.
Ila Netanyahu aliporudi madarakani matukio yalianza tena ya vurugu kati ya Israel na Palestina.
Na Hamas hawakuwahi kujirushia hovyo makombora Israel mpaka IDF itakapowachokoza usitudanganye.
Hakuna taifa la kiarabu lililotaka kuifuta Israel.
We unaongelea kauli ya Ahmedinajad rais wa zamani wa Iran aliyetoa tamko hilo ila sio waarabu wote.
Ingelikua nia yao kuwaua Israel basi tokea 1947 wangekataa kuwapa mipaka.
Na 1946 wapalestina chini ya British Palestine mandate wasingewasamehe wayahudi wa Jerusalem waliojaribu kufanya mapinduzi.
Siku zote waarabu walikua wanataka Palestina itambulike kama taifa.
Kama wangetaka kuifuta Israel wangeanza kuwaua wayahudi waliokua wanaoishi Jerusalem kabla ya 1945.
SIJUI HUU UONGO BRO UNAUTOA WAPI!!??
Netanyahu aliporudi madarakani vurugu zake zimechochea raia kuamsha tena maandamano ya kumtaka atoke madarakani.
Asingefadhili Israel settlers kuwapiga bedui Jenin basi Oktoba 7 isingetokea na Galilee isingekua ghost city sasa hivi.
Mkuu nenda katafute mzozo wa Palestina na Israel kuanzia 1946 naona hapa tutabishana halafu hakuna unachoongea sahihi.
Aljazeera haijapigwa marufuku Egypt,ukitaka nakuletea news coverage walizofanya Aljazeera ndani ya Egypt.
Kikao cha Arab Peace Summit kilichofanyika Cairo Aljazeera walikuwepo na wakarusha matangazo.
2013 kuna waandishi wa habari ambao waliokua wanaripoti kuhusu Mohammed Morsi walikamatwa,hapo ndio kulikua na mzozo baina ya Egypt na Aljazeera.
ILA HAKUNA TAIFA LA KIARABU LILILOIFUNGIA ALJAZEERA.
Naona mkuu unaongea usichokijua.
Tuzo waliyopata ilianzishwa na Mmarekani na inatolewa na Marekani.
[/QUOTE]
Unaandika stori ndefu sana lakini ukweli unaujua ila kwa vile kilichokusudiwa tarehe 7 kimebackfire watu kama wewe mnajitokeza kupotosha na kuonyesha kulikuwa na amani na katika kukufuatilia umekuwa unatumia sana settlers wa huko West bank kwamba ndo wamepelekea tukio kitu ambacho ni uongo. Haiingii akilini wateswe west bank hamas ambao wapo gaza wafanye hilo tukio lakini westban wasifanye. Acheni kutengeneza propaganda kumhusu Netanyahu, anapambania waisrael kama ambavyo mnadai hamas wanapigania wapelestina.
Tofauti ni kwamba waisrael wanapenda maisha ila nyie mnakuwa brainwashed kwamba maisha hayana maana ndo maana hamas hata hawajali ndugu zao wanavyotaabika.
Kama kulikuwa na amani kipindi unachokisema kwanini hamas walikuwa wanajenga mahandaki badala ya kuboresha maisha ya wapelestina? Walikuwa wanajiandaa na vita ya nini wakati kuna amani? Acha upotoshaji wako na kinachokusumbua ni udini na huu mgogoro unaonyesha sura halisi ya hizo dini zenu za kuiga.
Ukweli ni kwamba mgogoro wa huo siyo wa kudai uhuru bali ni wa kidini kwa asilimia zote ndo maana unakosa usuluhishi. Watu wamejificha nyuma uhuru ili kusukuma ajenda ya kidini kupitia raia wasio na hatia.
Kuhusu Al Jazeera kufungiwa unajitoa ufahamu tu, kwa sasa unaona hivyo ni kwa sababu ndo yupo nyuma ya kinachoendelea huko Gaza na ndo mashine za propaganda za huo mgogoro. Lakini ukweli unajulikana kwamba Al Jazeera kupitia Qatar ndo wanafadhili brotherhood ambayo kwa nchi kama Egypt imepigwa marufuku.
[/QUOTE]
Kijana huna unachojua.
1)Hamas kaanza kujenga mahandaki lini??
2)Una ushahidi gani Qatar anafadhili brotherhood!??
3)LETE USHAHIDI WA ALJAZEERA KUFUNGIWA NCHI ZA KIARABU?
Unaogea blaaa blaaa blaaa.
You are tarnishing my prestige you dunderhead!?
Sheriin Abu Akleh aliuliwa wapi kama sio Gaza!!??
Hivi haujui kama Hamas wapo ndani ya Occupied westbank na ndani ya PLO!?
Hivi haujui kama washika silaha wa Westbank Islamic Jihad na Al qassam brigade ni miongoni mwa brigade za Hamas!!??
Hivi haujui kama Palestina inajumuisha GAZA NA WESTBANK!!??
KUMBE NAONGEA NA JITU JINGAE!???
HAKUNA KITU KINAITWA BROTHERHOOD.
KULIKUA KUNA CHAMA CHA SIASA CHA EGYPT KIKIONGOZWA NA MORSI KINAITWA MUSLIM BROTHERHOOD NA KISHAKUFA BAADA YA ELSISI KUMPINDUA MORSI.
ANAYEFADHILI MAKUNDI MIDDLE EAST NI IRAN SIO QATAR.
Embu ngojea nije na ushahidi nikukate ngebe.