Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hao IDF wamekufa kuwa bomu la kutengwa kwenye jengo la Hamas... so muache kuleta news za kuwa IDF wanalipua majengo.. kumbe na hamas wanabomoa pia
 
Naona unaropoka kama unaharisha.
Taarifa nilokuletea inatoka chombo cha UN na AMNESTY INTERNATIONAL.
Hivi siku hizi Amnesty international wamekua Hamas!?

Hao watoto unajua sababu ya wao kurusha mawe!?
Kila leo IDF huvamia maeneo ya Wapalestina na kufanya vurugu,je hili halikuoneshwa ushahidi wake na watu wakaliona!?
MAGARI YA IDF YANAFANYA NINI KWENYE MIPAKA YA PALESTINA/OCCUPIED WESTBANK!?
Huoni kwa magari ya IDF kuingia ndani ya mipaka ya Westbank ni violation!?
Au hili hulijui!?

Unabwabwaja meeengiiii ila NONSENSICALS.
Naona hadi Amnesty internationals unawakataa na kuwadai ni wazushi na waongo.
Na AMNESTY hao hao ndio walitoa ripoti kuwa DUNIANI JELA PEKEE INAYOFUNGA WATOTO NI YA ISRAEL.

Unaweza ukatueleza gari za jeshi la IDF hufuata nini Ramallah!?
Maana hao watoto hukamatwa ndani ya mipaka ya Westbank.
Tunasubiri jibu mazeeh.
 
IDF na baadhi ya walowezi wa kizayuni wanazuia misaada isiingie ya vyakula Gaza,je hilo unaliona sawa!?
Pia usitudanganye kuwa Israel ndio ilikua inaisaidia Gaza bali ni Qatar na Egypt na Bahrain ndio ilikua ikiingiza malori kila siku ya misaada ya maji,vyakula na mafuta.
 
Sasa hivi ni maandalizi ya Parestina HURU - hao HAMAS wasahau kuwajaza jazΓ  ujinga waparestina na kusababisha wafe zaidi ya 40,000.
 
Aisee Hamas wameshinda vita.Kwa mara nyingine tena jeshi dhaifu la Israel limeshindwa na Hamas.Takbiiir
Ndio manake Allahu Akbariiii, nchi ngapi zinapigana na Hamasi nawamemshindwa, Jeshi la Pampers, Jeshi la America, UK, France, Germany, Canada, India, Philippines, Morocco, Ethopia.

Na kuna mataifa yamemsaidia Israel kwa kuwafungia chakula kisingie Gaza, Egypt, Jordan na kuna mataifa yalikuwa yanamsaidia Israel kukwepa kipigo cha Red Sea ni Saud Arabia, Jordan na UAE.

Piga salute kwa Hamasi
 
So maandamano si issue kwa wenzetu. Hata mashoga waliandamana na sisi wengine tunayapinga.
 
So maandamano si issue kwa wenzetu. Hata mashoga waliandamana na sisi wengine tunayapinga.
Mkuu nadhani ukweli unajulikana kipi ni valuable na kipi not.
Suala la ushoga ni NONSENSICAL huwez lifananisha na suala la utawala ama diplomasia.
 
Naona unaropoka kama unaharisha.
Taarifa nilokuletea inatoka chombo cha UN na AMNESTY INTERNATIONAL.
Hivi siku hizi Amnesty international wamekua Hamas!?
UN ndio hii hii iliyoshindwa kukemea Hamas na kuwaamuru waachie japo Mateka Wazee,Wanawake na Watoto!
Amnesty Inajua kudeal na Watoto wa waarabu tu kwa taarifa za uongo za Hamas pale nje ya Hospital Hamas wameshikwa na picha za watoto wa nchi mbali mbali wakidai watoto wao.. All muslims are lie
Hao watoto unajua sababu ya wao kurusha mawe!?
Yah wanarusha Mawe sababu wamefundishwa kuchukia Wayahudi kuanzia utotoni mwao even Muslim wanaenda Mecca kuhiji wanaambiwa wabebe mawe wampige Shetani kwa akili za kawaida wamekuwa brainwashed Shetani anaishi Mecca kaaba na nyumba yake ipo pale kwa historia ndio nyumba ya Allah wanachezewa akili Allah ndie Shetani.
Nadhani wewe ndio hujui kitu kasome sheria za kimataifa nani anahusika na jukumu la ulinzi maeneo ya Judea na Samaria... humu jf kumejaa mashabiki maandazi meupe kwenye bongo zao. Even Hamas wanakushinda akili watatambua Jukumu la Israel kuwalinda ila wao ndio hawataki.. Bunju hawajambo huko ulipo.
Unabwabwaja meeengiiii ila NONSENSICALS.
Use your brain to think big not uharo
Naona hadi Amnesty internationals unawakataa na kuwadai ni wazushi na waongo.
Na AMNESTY hao hao ndio walitoa ripoti kuwa DUNIANI JELA PEKEE INAYOFUNGA WATOTO NI YA ISRAEL.
Labda walitumia akili zako kutamka hayo maneno.. even Tanzania zipo jela za Watoto ad kila nchi... usifikiri sheria hamna ukiwa mtoto ukaua au ukatukana au ukasababisha ukosefu wa amani utashikwa na kuna nchi waeza wekwa kwenye uangalizi hadi utimize umri wa adult unaenda jela ya watu wazima... kasome sheria Madrassa zimewachelewesaha kupata akili shukuruni sisi tupo hai tunawapa elimu
Unaweza ukatueleza gari za jeshi la IDF hufuata nini Ramallah!?
Maana hao watoto hukamatwa ndani ya mipaka ya Westbank.
Tunasubiri jibu mazeeh.
Soma Juu hapo nimeandika anayehusika na Ulinzi Judea na Samaria provinces in the matter of national security.
 
Acha uswahili wewe Kobaz!! Hilo ni pendekezo la Biden
 
Mkuu nadhani ukweli unajulikana kipi ni valuable na kipi not.
Suala la ushoga ni NONSENSICAL huwez lifananisha na suala la utawala ama diplomasia.
Kumbe hujui kitu. Sasa nimeelewa. Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe
 
Jidanganye! Nani kakudanganya Israel atasitisha vita na kuwaachia hamas watawale Gaza?
Kwa Israeli atafanya na yuko hoi ..anatamani Sana ashinde lakin wapi .Israeli wanajeshi wakiienda vitan wwnasain posho za maana .hama anapigana kwa uzalendo na hana cha kupiteza ..Israel ameshaaconsume kila kitu cha akiba
 
Uchumi upo negative 7 huko
 
Nyie watu ni waajabu sana.
Mnaelewa lugha lakini, maana akili zenu zinawaza kuchamba tu.
Hao kobazi wenzenu wamekubali masharti yote ya Israel wameomba baadhi ya vipengele virekebishwe.
Nyie mnasema Israel kaomba ceasefire.
Aombe ceasefire huku anawachapa km anaua mende.
Nyie ni wendawazimu.
 
Kwa Israeli atafanya na yuko hoi ..anatamani Sana ashinde lakin wapi .Israeli wanajeshi wakiienda vitan wwnasain posho za maana .hama anapigana kwa uzalendo na hana cha kupiteza ..Israel ameshaaconsume kila kitu cha akiba
Mmmhh
 
Still unaandika uharo.
Jukumu la ulinzi sio ndani ya mipaka ni katika mipaka baina ya Westbank na Israel kenge wewe.
Kuna jela za watoto ila IDF inawafungia watoto jela za jeshi.
TANZANIA UMEWAHI ONA MTOTO ANAFUNGWA JELA ZA WATU WAZIMA!?

Inamaana wewe na Amnesty wewe una akili kuliko Amnesty!?
Fala kweli wewe wa kutupwa.
Kipindi unalaumu UN wameshindwa kuwaambia Hamas waruhusu hata mateka wazee je hao UN WALIKEMEA AUGUST KIPINDI IDF WANAVUNJA NYUMBA JENIN NA KUCHOMA MASHAMBA YA WAPALESTINA JENIN MNAMO AUGUST!?
AU HUJUI UGOMVI ULIANZA AUGUST!?
KICHWANI MWEUPE WEWE BOGUS.

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈOna huyu makalio,yani watoto wa nchi nyingine wafate nini Gaza!?
Una akili timamu wewe!?
Gaza kuwe na vita halafu watoto wa taifa lingine waingie Gaza!?
Una akili timamu!?
Picha zote zilizochukuliwa zimechukuliwa na UN na AMNESTY INTERNATIONAL.
Wewe ni kapuku tu unayekaa Tandale hapo hukuwahi kukanyaga Gaza wala Israel.UN na AMNESTY wapo Gaza na Israel na wote hao wamekusanya ushahidi.

Nakupa homework,nenda kamsome waziri wa haki za kibinadamu wa SPAIN alipata ushahidi wa uonevu wa Israel kwa Palestina akiwa kakanyaga Gaza.
Zwazwa wewe .
 
Kumbe hujui kitu. Sasa nimeelewa. Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe
Naona unakaza fuvu.
Wacha nikuache na kitu cha mwisho,kaa na watu wazima waulize,maandamano ya haki za ushoga na maandamano ya kuleta mabadiliko ya nchi yapi yanafaa na yana mantiki!?
Nahisi una upeo mdogo wa kung'amua mambo.
Uwe na wakati mwema.
 
Nlikuambia mantiki inategemeana na mhusika. It is very subjective. So shika hili dogo. Kweli yako si kweli ya wote. Mimi nimekula chumvi nyingi na nime ona mengi nikiwa mwana Tanu mpaka sasa CCM. mtu akiambiwa usifanye hivi, akakaidi akafanya atapigwa tu. Na mimi nasema wacha wapigwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…