Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Watoe support ya nini wakati wanaona kabisa Hamas peke yake anaweza kupambana na jeshi zima la Israel wakisaidiwa na Marekani.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1800482590169936168?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Na bado wanatoa kichapo kwa Israel leo mwezi wa 9 Gaza yenyewe inazidiwa ukubwa na Kigamboni wameshindwa kuidhibiti kuna mateka zaidi ya 150 wameshindwa kuwaokoa kazi yao
Kuuwa watoto na kubomoa majengo na makombora na drone wakitua chini wanakutana na Hamas.
View: https://x.com/suppressednws/status/1800452385942413654?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hao IDF wamekufa kuwa bomu la kutengwa kwenye jengo la Hamas... so muache kuleta news za kuwa IDF wanalipua majengo.. kumbe na hamas wanabomoa pia