Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Siamini kama hilo ndo lilikuwa lengo lao. Kwamba walitaka ku expose uwezo wa jeshi la israel kwa gharama ya damu za ndugu zao?
Wapi nimesema hayo ndiyo malengo ya Hamas au unandandia
Pipe kwa mbele malengo ya Hamas ni kupata taifa lao kwa njia yeyote iile.
 
The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

Hivi kwa nini Waisrael weusi wana roho ngumu kuzidi Waisrael wa Tel Aviv.
Unachitakiwa ufahamu ni kuwa hizo amendment ndio kukataa matakwa.. sasa mipaka ndio inawapa jeuri Hamas kupitisha uharamu wao... usikute kuna mateka hadi misri.. watawarudishaje aibu kwa Egypt.. ndio maana ugumu upo hapo...
 
The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

Hivi kwa nini Waisrael weusi wana roho ngumu kuzidi Waisrael wa Tel Aviv.
Allah aliwaambia mteke watoto, wanawake na Wazee? Kama sio why hawaachiliwi kwanza wabaki mashababi kama huna jibu muslim wanaroho mbaya
 
Allah aliwaambia mteke watoto, wanawake na Wazee? Kama sio why hawaachiliwi kwanza wabaki mashababi kama huna jibu muslim wanaroho mbaya
Hahahah umehama mada masuala ya dini peleka jukwaa la dini.
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Aisee Hamas wameshinda vita.Kwa mara nyingine tena jeshi dhaifu la Israel limeshindwa na Hamas.Takbiiir
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Jidanganye! Nani kakudanganya Israel atasitisha vita na kuwaachia hamas watawale Gaza?
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
Lengo la israel limetimia hana budi kuondoka
 
Nenatanyahu wenzake wamemkimbia kabakia peke yake mwisho wake umefika mwisho wanamsubiri wambulize Mahakamani.

MIezi mingi unazungumza hili. Mahakama ya South Africa iliamuaje? 🤣 Je ilisababisha Israel waache kichapo? Netanyau ni Jeshi la mtu mmoja anachapa tu . Na pia ana watu wengi akitoka mmoja anaingia mwingine.

Unamwona anajali? The man anafanya ana cho enjoy kufanya. Al Jazeera wanakupa Data.
 
Jidanganye! Nani kakudanganya Israel atasitisha vita na kuwaachia hamas watawale Gaza?
Dogo ritz huwa anaruka ruka sana. Kila siku anabadilisha narration. Israel inaendelea kutoa kichapo. Hamas wanajuta kumchokoza Bear. Wamepoteza wengi kuliko walichofanya wao.
 
Wewe kweli punguani
Mnauliza maswali ya kitoto hivi vita mmevujulia JF Israel hawajaanza kuwaua Wapelestina jana au leo, tokea 1948, sasa ndiyo Hamas wameweza kuwauwa Wanajeshi wengi wa Israel na zaidi ya 20,000 wamekuwa vilema na Dunia imejua kuwa Israel hamna kitu jeshi dhaifu pamoja na kasaidiwa na Marekani na Ulaya.

Huu ni ushindi wa Palestina kwenye historia ya Israel hawajawahi kupoteza wanajeshi na kupata hasara kama Gaza.

Leo hii Marekani na Israel pamoja na washirika wao wanawaomba Hamas na wanakubali masharti yao wewe upo Tukuyu, hujui lolote mabwana zako ndiyo wanajua hasara waliopata leo Palestina inatambuliika kama nchi.
Ushindi ni pmoja na kurudishwa ardhi unayopigania we kenge. Sasa unashindaje kama unzid kupoteza. Yaan ukacheze mpira ifungwe halafu utuambie ila tuliwapiga chenga sana na tuliwazid. Acha upunguan
 
Allah aliwaambia mteke watoto, wanawake na Wazee? Kama sio why hawaachiliwi kwanza wabaki mashababi kama huna jibu muslim wanaroho mbaya
Ila Israel kuua wanawake na watoto na kufungia jela watoto umri chini ya miaka 12 ni sawa!?
Au ndivyo Ukristo na Yesu Nazareth alivyofundisha!?
 
Back
Top Bottom