Msafara wa magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi, ulivamiwa, madereva walitishiwa bunduki washuke, misaada yote imeibiwa, magari 97 hayaonekani.
Baadhi ya magari yalibeba ngano iliyotakiwa kupelekwa kwenye viwanda vya ngano vya umoja wa matafa Gaza, viwanda hivi vimeathirika sana kwa kukosa malighafi muhimu ya kutengeneza chakula cha kuwasaidia wapalestina
Shirika hilo limewalalamikia Israel kwamba hawakutoa ulinzi wa kulinda msafara dhidi ya waporaji (Hamas ndio wenye nguvu ya kufanya haya mambo)
Ushahidi wa Hamas wanapora chakula
Hamas wakipora chakula wanatunza kwenye magodauni yao, Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.
Misaada ya chakula wanaipeleka kwenye mahandaki
Hutumia misaada kufyatulia makombora