Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
 
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
 
Vita ya Gaza ni ngumu, wakienda kienyeji utakuwa ni uhalifu wa kivita kwani raia wamegoma kuhama walipi Hamas.

Pili hao jamaa wanaishi kwenye mahandaki ambayo yanaanzia ndani ya nyumba za makazi, sio rahisi kuingia.

Ukilazimisha kupiga hovyo pia unaua mateka...ni pazito sana
 
Wanakumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
Wabadilishane, uhai ni bora zaidi
 
Wanakumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
Mark ma word. Hawa jamaa watawaachia soon bila mashart.
 
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
Unaleta mambo ya kwenye movie boss wangu maana kwenye movie wanatumwa makomandoo 3 tu
 
Wanaukumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
Hamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.

Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.
 
Back
Top Bottom