FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Kaa chini utafakari kinachoendelea Gaza hivi sasa pamoja na vifo vya maelfu ya Wapalestina wakiwemo wanamgambo wa Hamas, jumlisha na hao mateka 50, ndio gharama sahihi iliyohitajika kulipwa na Hamas ili kuwakomboa wafungwa 150 wa Kipalestina kutoka Israel?Kwamba?
"Ila likelihood ya hiyo karata kufanikiwa kipindi hiki ni ndogo sana."
Hebu uuangalie tena halafu uangalie na picha hizi kisha jipige kifuani mara tatu ukipenda kujipongeza:
"Unasimama hivyohivyo kama ambavyo ulisimama niliposema."
View attachment 2824187
View attachment 2824188
Ukimaliza, simama kisha kaa tena chini utafakari kuhusu kile nilichokisema awali kabisa.