Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #81
Bahati mbaya wewe ndiyo unaogopa kufa Palestina vifo ni sehemu ya maisha yao wewe angalia wanavyoshangilia utafhani hawajafa watu zaido ya 10,000 wewe tu ukifiwa na babu yako unabandika na picha yake ukutani😂binafsi natamani wapalestina wangeendelea kuishi kule jela, kwasababu leo wametoka, inaweza isichukue muda watapigwa mabom au bunduki ya waisrael, watakufa bure, sasa bora nini? vita bado inaendelea.