Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Kipondo wanapiga raia watoto na wanawake umri wako mdogo hujui chochote kuhusu Mashariki ya Kati zaidi ushabiki mandazi.
Mi niko Dubai mji ali Alain hapa mkuu wala sio mtoto. Ila nachosema Hamas wapuuz huwez kulianzisha halafu unajificha nyuma ya wake zao. Sasa watoto wanakufa na wanawake kwa upuuz wao. Umesahau vita wameanzisha wao kaka
 
Wanaukumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
Kwani hao miambili wakifa kwa ajili ya amani ya kudumu ya waisraeli kuna shida? Mbona wanawake wapo,wanaume wapo,watazaliwa zaidi ya hao mara elfu na wataishi kwa amani miaka elfu.
Kubadirisha ya mateka baada ya miaka miwili wanarudi tena ,hapana.
 
Wewe si unaongea fikra zako eti amani ya kudumu😂 amani ya kudumu kwa Hamas.

Familia za mateka wanaandamana huko Israel na juzi walikuwa na mkutano na Waziri Mkuu, wanataka ndugu zao sasa wewe Muisrael mweusi wa Rombo nenda kawambie hayo maneno yako.
 
Wale mateka wawili Watanzania wana maslahi nao yapi?
Hujui mbinu za kivita unadhani mateka wote ni rais wa IIsrael, mataifa ya mateka ndiyo yanaibana Israel hawasikilize Hamas.
 
Kubadilishana wafungwa ndiyo karata pekee ambayo Hamas imebaki nayo. Ila likelihood ya hiyo karata kufanikiwa kipindi hiki ni ndogo sana.
Nimetoka kutazama video panther za Israel zinavyokong'otwa Gaza na TelAviv inavyowaka
 
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
viongoz wa hamas wanakula bata huko Qatar
 
Fuatilia historia ndiyo utajua Hamas akamate Muisrael amuachie bila masharti?
soma na upepo wa ss hv , urusi kavuruga utulivu wa dunia , ss hv mwenye nguv atakudunda mpk aridhike watu wanaogopa kuingilia sabab watakuza vita

ova
 
Kipondo wanapiga raia watoto na wanawake umri wako mdogo hujui chochote kuhusu Mashariki ya Kati zaidi ushabiki mandazi.
buffer zone sio sehemu ya makaz , wazayun watawadunda tu maana walishaambiwa hapo kuna kitu kinaenea kutokea ila ubishi wao , ngoja kiumane si wamechagua kifo dhidi ya uhai
 
Hamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.

Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.
nan atawapa hizo huduma za kijamii wkt wana serikali yao , kwamba wao ni vilema mpk wapewe huduma na serikali ya wazayun
 
Wanaukumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
wawarudishe tu, ila wakitua tu tel aviv, kipigo kianze upya.
 
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
mp wetu wanapigana na raia kawe
 
Hakuna Cha kubadilishana wafungwa muda wote mlikuwa wapi mmeona mnapewa kichapo heavy ndio mnakuja na hoja ya kubadilshana, mm kama msemaji wa IDF mstaafu kutoka Mwembe mimba Zanzibar nasema hakuna kurudi nyuma mpaka Hamas wote wapukutishwe.
 
Back
Top Bottom