Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Wafurikishe maji kwenye mahandaki,hamas watatoka
Mkuu, Hamas inaonyesha wana ufadhili mkubwa sana, kuwa na mji chini ya ardhi sio jambo dogo.

Kuchimba njia za urefu wa 500km chini ya ardhi ni sawa na kutoka Moshi klm hadi Dar
 
Mkuu, Hamas inaonyesha wana ufadhili mkubwa sana, kuwa na mji chini ya ardhi sio jambo dogo.

Kuchimba njia za urefu wa 500km chini ya ardhi ni sawa na kutoka Moshi klm hadi Dar
Hivi urefu wa Gaza ni km 41 na upana 10 hivi hizo km 500 ni wapi hadi wapi huko Gaza

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Dah...nneona classmate wangu anahojiwa BBC Swahili kuwa mdogo wake ndo ametekwa na hao Hamas...kwa kwel ni vyema wakafanya tu kubadilisha mateka na wafungwa ili wasio waisiraeli waachiwe....ogopa sanaa kutokujua ambacho kinaendelea kwa ndugu Yako......hujui aithq ni mzima au amekufa
 
Aljazeera wapo very biased ktk kutoa taarifa. Wanaonesha na kuisema vibaya Israel tu.

Hawasemi lolote kuhusu Israel kushambuliwa hata news breafing za Netanyahu hawaoneshi.Ndo maana Israel imeamua kuwachapa hadi wawakilishi wao walio Gaza.

BBC wapo balanced
 
Hayo maneno mwambie basha wako eti BBC wapo ballanced, AL JAZZERA wanaonyesha ushenzi wa Mabwana zako wanavyouwa watoto na Wanawake
 
Aljazeera wapo very biased ktk kutoa taarifa. Wanaonesha na kuisema vibaya Israel tu.

Hawasemi lolote kuhusu Israel kushambuliwa hata news breafing za Netanyahu hawaoneshi.Ndo maana Israel imeamua kuwachapa hadi wawakilishi wao walio Gaza.

BBC wapo balanced
Sio razima.
 
Fuatilia historia ndiyo utajua Hamas akamate Muisrael amuachie bila masharti?
Kadri watakapaoona madhara ya vita yanawaumiza wao zaidi ndio watakapolazimika kuwaachia mateka ili kushawishi kusitishwa kushambuliwa

Sasa hivi suala la hamas kuendelea kuwa mtawala wa Gaza limeondolewa. Israel wamengia Gaza na wataweka mtawala wanayemtaka, kwa hamas hiyo ni hatua nyingi sana kurudi nyuma
 
Hahahaha😂 unaongea fikra zako huku umejifungia chumbani kwako na simu yako ya Tecno, huwafahamu Hamas huenda Umri wako mdogo siyo mara ya kwanza kuteka Wairael mara kibao wameishajilipua na mateka baada ya kukataliwa wanachokotaka, halafu Hamas ipo vifuani mwa Wapelestina eti wataweka mtawala wao hivi huko shule mlikuwa mnaenda kusoma ujinga.
 
Hamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.

Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.

Hapa karata pekee aliyo nayo HAMAS ni kupata watu 1m tayari kujitoa mhanga.

Walipo Sasa Israel itarudi kuwachukua au kuwaua wafungwa inaoachia sasa.

Jingine ni kuwa tokea Oct 7 Israel imebeba wafungwa zaidi ya 7000 na itaendelea kubeba wengine.

Palestine hawakutakiwa kuhofia kubwa wakinzingatia Kuna mabikra 7 huko safarini.
 
binafsi natamani wapalestina wangeendelea kuishi kule jela, kwasababu leo wametoka, inaweza isichukue muda watapigwa mabom au bunduki ya waisrael, watakufa bure, sasa bora nini? vita bado inaendelea.
 
Back
Top Bottom