Hamas wasifanye kosa la kutaka kubadilisha mateka wa Israel kwa wafungwa wao.Hiyo ni faida ndogo sana kwa faida kubwa wanayoweza kupata kwa kuawashikilia mateka walionao mpaka mwisho
Masharti yao yawe mawili
Shartila mwanzo ni kuachiwa raia wote wanawake na watoto kwa kusitishwa vita na kurudishwa huduma zote za kijamii.
Shari la pili ili kuachiwa askari na mateka waliobaki ni kurudisha nyuma askari wote walioingia Gaza.
Masharti hayo yatasaidia kwa muda tu kwani Israel si watekelezaji wa ahadi
.Hamas katika kipindi cha mwaka mmoja waangalie mwenendo wa kuundwa kwa serikali ya Palestina yenye mamlaka kamili na bila kuweka shinikizo la kumpa madaraka Mahmoud Abbas.Kwa maana Hamas wawe ni sehemu ya serikali hiyo.
Kama masharti hayo hayatotekelezwa waweke wazi kuwa wataandaa shambulio jengine kama la Oktoba 7.