Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

binafsi natamani wapalestina wangeendelea kuishi kule jela, kwasababu leo wametoka, inaweza isichukue muda watapigwa mabom au bunduki ya waisrael, watakufa bure, sasa bora nini? vita bado inaendelea.
Bahati mbaya wewe ndiyo unaogopa kufa Palestina vifo ni sehemu ya maisha yao wewe angalia wanavyoshangilia utafhani hawajafa watu zaido ya 10,000 wewe tu ukifiwa na babu yako unabandika na picha yake ukutani😂
 
Very strong statement by the Belgian and Spanish Prime Ministers, saving Europe from a complete moral and strategic collapse (this statement was given AFTER they met with Netanyahu):

  • International law MUST be respected
  • Killing of civilians MUST stop
  • The destruction of Gaza is UNACCEPTABLE
  • There is NO military solution to this conflict
  • There is only a political solution.
  • We need to stop settler violence in the West Bank
 
Sio tu mateka wa Kipalestina walikuwa na nyakati za kufurahisha za kuungana tena na familia zao leo, lakini utulivu wa kibinadamu ulimaanisha kwamba makumi ya waandishi wa habari huko #Gaza waliweza kuvuta pumzi na hatimaye kuwaona watoto wao.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    1.4 MB
Qusai Hani (umri wa miaka 17), mtoto wa Kipalestina, ambaye aliachiliwa leo katika kubadilishana wafungwa kati ya muqawama wa Palestina na Israel.

Anasema kuwa Waisraeli walimwambia kwamba ikiwa atapokelewa na mtu yeyote isipokuwa wanafamilia, watakuja na kumkamata tena.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    423.9 KB
A child. He’s a child in a military prison finally returned to his mum.

This is so emotional!
 

Attachments

  • twidown.mp4
    4.9 MB
Who wouldn't be this happy having a slice of pizza after spending 8 difficult years in an Israeli jail?!

Malak Suleiman having her first meal as a free woman, thanks to the exchange deal that the Palestinian resistance made. #Palestine #Jerusalem
 

Attachments

  • IMG_6754.jpeg
    IMG_6754.jpeg
    48.4 KB · Views: 1
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah,kwahiyo wabongo kutoka lugalo waingie hamas kuwakomboa raia
 
Some of the imprisoned Palestinian children released by Israel in exchange for Israeli captives held by the Palestinian resistance since the Al-Aqsa Flood operation on October 7. Why the hell is Israel jailing Palestinian kids in the first place?
 

Attachments

  • IMG_6757.jpeg
    IMG_6757.jpeg
    66.3 KB · Views: 1
Hao wazayuni,wanapiga wapi...?
Kwanini makomandoo wao wasiende kusakomboa?
Vita hivi vinachanganya sana.
Sisi kuhusu wale majamaa wawili,watumwe MP wawili wa Lugalo,waende wakawakomboe watanzania wenzetu.
Bangi zikiisha uje kuedit huu ujinga ulioandika.
 
Mfungwa aliyeachiliwa Marah Bakir katika maneno yake ya kwanza baada ya kuachiliwa kwa wafungwa katika makubaliano ya kubadilishana:

• Ni vigumu sana kuhisi uhuru na kuachiliwa badala ya damu ya mashahidi huko Gaza, na kwa kuzingatia dhabihu kubwa za watu wangu katika Ukanda wa Gaza.

• Bado nahitaji matibabu ya madhara ya kupigwa risasi wakati wa kukamatwa kwangu, na ningependa kuendelea na matibabu yangu na kujiandikisha kwa masomo ya chuo kikuu.
 

Attachments

  • IMG_6758.jpeg
    IMG_6758.jpeg
    34.2 KB · Views: 1
Quds Brigades spokesman, Abu Hamza:

The Islamic Resistance in Lebanon has dealt the enemy deadly blows, and what is coming is greater
 

Attachments

  • IMG_6759.jpeg
    IMG_6759.jpeg
    25.1 KB · Views: 1
Bangi zikiisha uje kuedit huu ujinga ulioandika.
Acha ku-underate vitu vya nyumbani,unadhani wasingeenda kuwaokoa,hadi sasa inaanza kuwa too late,mmoja kashafariki.
 
There are no people more supportive of Palestine than Yemenis
 

Attachments

  • IMG_6761.jpeg
    IMG_6761.jpeg
    169.9 KB · Views: 1
The kidnappings didn't start on Oct 7th.
 

Attachments

  • IMG_6762.jpeg
    IMG_6762.jpeg
    48.7 KB · Views: 1
Wanaukumbi

Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.

Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza wakiwemo askari na raia

CHANZO; ALJAZERA
Hawa magaidi wajomba zake na FaizaFoxy kumbe bado wapo wanaishi, ngoja niwaambie Wayahudi kuwa bado wapo na mtoto wao Faiza yupo kajificha humu JF waje kumchukua wampeleke mbinguni kuwa mke wa wale majangiri waliodanganywa kupewa mabikra 72.
 
Hamas leader, Ismail Haniyeh:

The enemy bowed to our people’s conditions in the face of the valiant resistance and agreed to the terms of the truce
 

Attachments

  • IMG_6763.jpeg
    IMG_6763.jpeg
    43.2 KB · Views: 1
Hawa magaidi wajomba zake na FaizaFoxy kumbe bado wapo wanaishi, ngoja niwaambie Wayahudi kuwa bado wapo na mtoto wao Faiza yupo kajificha humu JF waje kumchukua wampeleke mbinguni kuwa mke wa wale majangiri waliodanganywa kupewa mabikra 72.
Huyu askari wa kike wa Hamas leo kafanya kazi kubwa sana.
 

Attachments

  • IMG_6749.jpeg
    IMG_6749.jpeg
    43.8 KB · Views: 1
Huyu askari wa kike wa Hamas leo kafanya kazi kubwa sana.
Vipi kagawa uroda? Asije kuwa huyu ni mmoja wa wale mabikra 72 anataka kujiua awaishwe mbinguni kuliwa vizuri na magaidi wenzake wasiojitambua akili.
 
Vipi kagawa uroda? Asije kuwa huyu ni mmoja wa wale mabikra 72 anataka kujiua awaishwe mbinguni kuliwa vizuri na magaidi wenzake wasiojitambua akili.
Kwani wewe bikra yako ulitolewa lini? Unamkumbuka aliyekutoa ? Mzee wa uharo yake ilitollewa Kericho na Mmeru.
 
Hezbollah and Yemenis will take part in 4-day truce between Hamas-Israel

But we don't know whether or not Iraqi resistance forces will stop their attacks on U.S. troops during these days.
 

Attachments

  • IMG_6764.jpeg
    IMG_6764.jpeg
    37.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom