Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Haya chukua hii ili siku nyengine uache kua mkurupukaji
Uislamu umekamilika yaani hauna makando kando

Qur'an 33:59 tells Muhammad to ask his family members and other Muslim women to wear outer garments when they go out, so that they are not harassed: O Prophet! Ask your wives, daughters, and believing women to draw their cloaks over their bodies.
 
Unaanza kuongea ongea kama ushatoka kupata baraka tayari ongea ueleweke

Ukitenganisha tamaduni za kiarabu/uarabu na uislam tayari umeasi. Kwa sababu msingi wa uislam ni desturi na mapokeo ya uarabu.
 
Kwamba waarabu wote ni waislam ama ulikua unataka kusema nini hapo kijana
Na uislam sio utamaduni wa kiarabu sababu uislam hata wakati unakuja ulipingana na mila nyingi sana za waarabu sababu zilikua zinapingana na uislam
Kama uislam ungekua ni uarabu kusingekua na haja ya kuja ama kuletwa qur an
 
Sikiliza kijana wangu. Uislam na uarabu ni kitu kimoja. Ndiyo maana kitabu chao cha dini kimeandikwa kwa lugha yao ya kiarabu. Wengine wote mkitaka kujiunga na dini yao, mpaka mkaririshwe maneno yao ya kiarabu. Ambacho wengi hamkijui. Na mkitaka kutafsiri, lazima sentensi zifuatane. Yaani kiarabu juu na lugha yako chini.
 
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.

Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.

Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.

Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.

View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj

Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu

Tena walishinda toka Day one. Waisrael wamekufa zaidi ya 20,000 na kuendelea. Tunashukuru sana sasa Israel imebomolewa bomolewa haitamaniki. Alla kwa kweli amewasaidia sana watu wake. Hamas kwa sasa wamechukua eneo kubwa la Israel. Tuendelee kuwajuza tu.
 
Sikiliza kijana wangu. Uislam na uarabu ni kitu kimoja. Ndiyo maana kitabu chao cha dini kimeandikwa kwa lugha yao ya kiarabu. Wengine wote mkitaka kujiunga na dini yao, mpaka mkaririshwe maneno yao ya kiarabu. Ambacho wengi hamkijui. Na mkitaka kutafsiri, lazima sentensi zifuatane. Yaani kiarabu juu na lugha yako chini.
Allah kaleta lugha hio kwenye qur an kwa maana yake
Leo hii waislam wote duniani ukimpeleka sehemu kuna ishara moja tu itayo muonesha ama kumjulisha kama hapa kwa waislam wenzako sio kama dini nyenginezo
Nje ya lugha hakuna kingine kimechukuliwa kwa waarabu mpaka uunasibishe uislam na uarabu
Yaani lugha tu ndio iwe uislam ndio uarabu
Pia kama hujui hata hao waarabu wanatofautiana pia kwenye hio hio lugha yao
Ila qur an nenda popote utakapoenda ndio kitabu ambacho hakibadiliki hakikubadilika na hakitakuja kubadilika mpaka kiama
Kwahakika qur an nikitabu kisicho nashaka ndanimwe
Nakwambia uislam sio uarabu sababu kabla uislam kushika khatamu pale arabia majamaa walikua na mila na tamaduni zao ambazo zote zilipigwa kumbo na kupingwa na uislam ikiwemo kuabudia masanamu jua mwezi milima nk
 
Wameshashinda kweli ila bila shaka watakuwa wameshinda njaa maana wako mashimoni watapataje chakula.
 
Allah kaleta lugha hio kwenye qur an kwa maana yake
Leo hii waislam wote duniani ukimpeleka sehemu kuna ishara moja tu itayo muonesha ama kumjulisha kama hapa kwa waislam wenzako sio kama dini nyenginezo
Nje ya lugha hakuna kingine kimechukuliwa kwa waarabu mpaka uunasibishe uislam na uarabu
Yaani lugha tu ndio iwe uislam ndio uarabu
Pia kama hujui hata hao waarabu wanatofautiana pia kwenye hio hio lugha yao
Ila qur an nenda popote utakapoenda ndio kitabu ambacho hakibadiliki hakikubadilika na hakitakuja kubadilika mpaka kiama
Kwahakika qur an nikitabu kisicho nashaka ndanimwe
Nakwambia uislam sio uarabu sababu kabla uislam kushika khatamu pale arabia majamaa walikua na mila na tamaduni zao ambazo zote zilipigwa kumbo na kupingwa na uislam ikiwemo kuabudia masanamu jua mwezi milima nk

Kijana wangu nenda duniani kote katafiti ni kitu gani cha msingi kinachowatambulisha watu. Jibu ni moja tu. Watakuambia ni lugha. Lugha siyo kitu kidogo kama unavyoamini. Msingi wa utamaduni jamii yoyoe ile ni lugha. Ndiyo maana huwezi kukuta mtu amesilimishwa kwa majina yake ya asili. Lazima like la utamaduni ule.
 
Sijasema lugha kama jambo dogo ama hujanielewa nimemaanisha kwamba kwenye utambulisho wa mtu ama watu bado unakuta lugha ila kuna vyengine zaidi
Nandio maana ni kakwambia hata hao waarabu wana lugha za kiarabu zaidi ya moja ama hulijui hili
Pia mtiririko uliopo kwenye lugha na uislam ni tofauti mfano adhana yaani inaadhiniwa kwa kiarabu ila ni tofauti na lugha ya kiarabu maana ni kitu cha kushangaza (hapa kuna namna nataka kukuelewesha ila nachemka nikuelewesheje)
Ukiongea lugja ya kiarabu sio sababu kua wewe muislam ila ukitoa shahada ama ukiadhini inakua sababu ama dalili ya uislam wako
Yaani uarabu na uislamu huendani kabisa licha yakua unashare baadhi ya maeneo kwa kilugha
 
Haya chukua hii ili siku nyengine uache kua mkurupukaji
Uislamu umekamilika yaani hauna makando kando

Qur'an 33:59 tells Muhammad to ask his family members and other Muslim women to wear outer garments when they go out, so that they are not harassed: O Prophet! Ask your wives, daughters, and believing women to draw their cloaks over their bodies.
Umethibisha tu ndio maana nimekuwekea chanzo Cha hiyo Aya alianza Umar kushauri kwanza ndio hiyo Aya ikaja , Umar ametunga verse kibao mpaka ikafikia Muhammad akamwambia kama Kuna mtume mwingine basi angeweza kuwa Umar , soma dini Yako kijana

Soma tena
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Umethibisha tu ndio maana nimekuwekea chanzo Cha hiyo Aya alianza Umar kushauri kwanza ndio hiyo Aya ikaja , Umar ametunga verse kibao mpaka ikafikia Muhammad akamwambia kama Kuna mtume mwingine basi angeweza kuwa Umar , soma dini Yako kijana

Soma tena
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Wewe sasa ndio unatakiwa uusome uislam ili ukibishana uwe unabishana kwa hoja
Unakataa mpaka aya za qur an nimekuletea
Omar hakua anajua lolote kuhusiana na uislam na dini anamshaurije s.a.w jambo
Masuala ya dini hata s.a.w hakua akiyataka yeye yawe yalivyokua yeye mwenyewe alikua analetewa tu wahyi kama hapa pawe hv
Hio musnad Ahmad inasimama nyuma kwanza inatanguliwa na qur ana kama hujui nakupa hii kama bonus
 
Soma tena mpaka uelewe , tumia ata google kama ki English hakipandi

..Then the verse of hijab was revealed. ....
 
Kati ya omar na qur an nani alimkutia mwenzake tuanzie hapa kwanza
Naongelea omar huyu alotoka kwenye ukafiri akaingia kwenye uislam sio omar yule wakati yupo kwenye ukafiri
 
Umar katunga mambo mengi na baada ya Umar kutamka ndio Aya zikaja , Adhana ni wazo la Umar pia , bisha niweke nukuu
 
Heheeeeee acha kupotosha watu kijana tena acha
Hilo la hijab nimeliona hapa na nimelipitia vyema sana
Suala la hijab omar alinukuu maneno ya allah s.w sasa wewe unataka kupotosha umma
Hem leta sentence nzima kuhusiana na omar alivyokua anawaambia wale wanawake wakiansae kuhusiana na hijan tuone 😀
Achana na adhana kwanza tumalizane na hili ili uache kupotosha umma hapa ndani
 
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.

Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.

Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.

Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.

View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj

Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu

Kama wameshinda waambie shura ya maimamu hapo kichanbani, mtoro, na idrissa...watakuwa hawana taarifa maana daily povu linawatoka
 
Heheeeeee acha kupotosha watu kijana tena acha
Hilo la hijab nimeliona hapa na nimelipitia vyema sana
Suala la hijab omar alinukuu maneno ya allah s.w sasa wewe unataka kupotosha umma
Hem leta sentence nzima kuhusiana na omar alivyokua anawaambia wale wanawake wakiansae kuhusiana na hijan tuone 😀
Achana na adhana kwanza tumalizane na hili ili uache kupotosha umma hapa ndani
Hakuna kupotosha wewe ndio hujui dini Yako , kasome tena tena Sana

Hijab ni wazo la Umar na limeanzia mbali Sana Umar mpaka akashauri hijab , ndio verse ikaja baadae baada ya Umar kupendekeza wazo lake
 
Ushahidi si unaona leta full verse tuione kwani shida iko wapi
Leta verse tuione tu halafu tuone imekaaje
Kiukweli dini yangu siijui nandio maana bado naendelea kuisoma na bado ntakufa siijui ila nazidi kuisoma elimu haina mwisho
 
Back
Top Bottom