Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Nakushauri uwe unaangalia vyanzo mbalimbali vya habari usiwe na chombo kimoja tu.

Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Nakupa ruhusa tafuta chombo chochote habari hiyo ipo?
Au inasema nyumba za netanyhau?
Huwa ninapingana na watu kuleta taarifa za kwao!

Umeelewa point lakini?
 
Ni swala la kimantiki kwa mkristo kusapot wazayuni na sio inshu ya imani.
Kama ni imani mazayuni si wakristo. Tunasimama na wazayuni kama vile tulivyosimama na Waislam wa China walivyokuwa wanakandamizwa.
Ni fact kuwa wazayuni hapo ni kwao, why tusiwasapoti?.
Sijawai ona wazayuni wakichinja watu kwasababu tu sio wa Imani yao.
Sijawao ona wazayuni waki-down throat agenda zao ila waislamu mnafanya hivyo.

Bado unawashangaa watu wema kuwasapoti wayaudi ila wewe ujishangai kuwa mfuasi wa Muhammad mchinjaji na vandarist?.
Muhammad alikuwa anabadilisha watumwa weusi wawili kwa mtumwa mmoja wa Kizungu mbona ila mpo tayari kuua yoyote anaempinga? At the time ukiona mtu anasapot wazayuni kutetea ardhi yao unachukia!!

Unawachukia wayaudi kwasababu zako za Kijinga tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu bila kujali dini yake hawezi kusapoti unyama wanaofanyiwa raia wa Gaza. Jifikirie mara 2
 
Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Nakupa ruhusa tafuta chombo chochote habari hiyo ipo?
Au inasema nyumba za netanyhau?
Huwa ninapingana na watu kuleta taarifa za kwao!

Umeelewa point lakini?
Hayo ni maelezo baada ya habari. Habari kuu ni Jerusalem jana imepigwa makombora
 
Hayo ni maelezo baada ya habari. Habari kuu ni Jerusalem jana imepigwa makombora
sasa kuna shida gani kusema makombora jana yalipigwa israel mpaka uanze kudanganya kuhusu netanyhau kujificha kwa rafiki yake na wakati tarifa aisemi hivyo?

Ritz ndugu yangu anatuma taarifa sahihi baada ya kumuambia jana au juzi kama sikosei.

Tutoe taarifa sahihi
 
Kuwaza kupiga maeneo nyeti si tatizo.
Una ripoti vipi kitu ambacho hakuna sehemu yoyote kimeandikwa?

Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Nataka unitafutie hii taarifa netanyhau kahamia kwa rafiki yake mmarekani? Umezipata wapi?
Unatia huruma kwa kweli
 
Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Nakupa ruhusa tafuta chombo chochote habari hiyo ipo?
Au inasema nyumba za netanyhau?
Huwa ninapingana na watu kuleta taarifa za kwao!

Umeelewa point lakini?
Nishakupa hizo link hebu tulia usome kwanza halafu futa huo upumbavu wako
 
Hali isiyotarajiwa imetokea mapema jana baada ya makombora sita ya masafa marefu kurushwa kutoka Gaza kuelekekea jiji la Jeusalem ambako ndiko ziliko nyumba mbili za waziri mkuu wa Israe.

Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Tukirudi kwenye makombora hayo ,ving'ora vilihanikiza jiji lote na kusababisha watu kukimbilia kwenye mashimo ambayo kikawaida huwa hayako mbali na barabara kote jijini humo.

Kati ya makombora 6 nusu tu ndiyo yaliyodakwa na Iron dome na mawili kukosa shabaha yake japo yalitua kwenye majengon na kuleta madhara madogo. Moja kati ya hayo matatu lilichukua kasi zaidi na likipitiliza jijini hapo na kutua mashambani nje ya jiji.

Mwandishi wa shirika la habari la China,Xinhua alishuhudia kikosi cha uokoaji cha Magen David Adom kikimbia huku na huko kufuatilia miripuko ya makombora hayo ili kujaribu kuokoa watu kama kungetokea madhara zaidi.

Kumbuka makombora hayo yamerushwa kutoka ndani ya Gaza na huenda ni kaskazini yake ambako jeshi la Israel lipo huku na vifaru na askari kadhaa na ni katika mwezi wa tatu tangu vita hivyo vilipoanza ikitarajiwa Hamas wamedhoofika kutokana na nguvu kubwa iliyotumika kuwapiga.

Hamas claims rocket attack in Jerusalem

View attachment 2843887
Si uwa tunaambiwa Hamas wanakimbilia kwenye Mahdaki kumbe nao pia wamekimbilia kwenye mashimo😂
 
ok sasa tunataka tuone nyumba ya netanyhau zimepigwa?
Unaweza kuzileta?
Hio taarifa umeisoma?
Unatia huruma sana
Umekubali kuwa Netanyahu alihama nyumbani kwake na alihamia kwenye nyumba ya rafiki yake sasa unataka uoneshwe nyumba ya Netanyahu iliyopigwa.
Hatujasema imepigwa lakini makombora yamerushwa kwenye mji wenye nyumba zake.Yangerushwa telaviv tusingesema nyumbani kwake.
 
Si uwa tunaambiwa Hamas wanakimbilia kwenye Mahdaki kumbe nao pia wamekimbilia kwenye mashimo😂
Sheria ya ujenzi wa nyumba na barabara nchini Israel unatakiwa lazima ujumuishe na handaki litakuwa wapi.
Katikati ya mji ukisikia king'ora unatimkia kwenye handaki ambalo liko karibu nawe.
 
Umekubali kuwa Netanyahu alihama nyumbani kwake na alihamia kwenye nyumba ya rafiki yake sasa un
Kwani taarifa si umeisoma? Aliondoka kwasababu gani si wametoa sababu?
Walisema amekimbia?
Kichwa cha uzi wako kinasemaje?
Kwanini netanyhau isiwe jerusalem imepigwa?

Kwanini unatumia generalization Fallacy?
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu bila kujali dini yake hawezi kusapoti unyama wanaofanyiwa raia wa Gaza. Jifikirie mara 2

ikiwa akili inakuelekeza kumchukia mtu anaepigania Ardhi yake,ambaye hajawai kuua mtu yoyote kwasababu ya dini yake ila hapo hapo hiyo akili inakuelekeza KUMPENDA na KUMTUKUZA mtu alieua, pora na kubadilishana watumwa weusi wawili kwa mtumwa mmoja mzungu.. Basi, hizo akili sizihitaji, baki nazo tu.
 
Upige bomu Dar useme umepiga nyumbani kwa Samia. Au siyo?
 
Back
Top Bottom