Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Wanaowaza kwamba hamas itafutika basi watafutika wao
Hujaijua vzr hii vita. That was simply a justification of why Israelis should continue bombing Gaza!!. Rocket zote zimerushwa na Waisraeli wenyewe. Mchezo kama huo, aliutumia sana Bush Junior kushinda uchaguzi wa pili wa Uraisi,. Siku chache kabla ua Uchaguzi, ilitokea milipuko kadha iliyodhaniwa ni ya Kigaidi nchini Marekani. Na kwa vile Bush alionekana kuimudu vyema Alqaeda ya kina Osama na Zawahir, ikawa justification tosha aendelee ili kukamilisha ufutishaji wa ugaidi wa alqaeda.
Ukitaka kujua ni kweli, roketi zinazoendelea kurushwa kutoka Gaza, hazijalenga chochote cha maana kule Israel, na hata kusababisha vifo, why? Amkeni, vita inakaribia kwisha, zinazoendelea ni propaganda tuu kuhalalisha mission za Israeli kuendelea kuikalia Palestina.
 
,/
Screenshot_2023-12-17-13-41-05-40_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Back
Top Bottom