Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Ni swala la kimantiki kwa mkristo kusapot wazayuni na sio inshu ya imani.
Kama ni imani mazayuni si wakristo. Tunasimama na wazayuni kama vile tulivyosimama na Waislam wa China walivyokuwa wanakandamizwa.
Ni fact kuwa wazayuni hapo ni kwao, why tusiwasapoti?.
Sijawai ona wazayuni wakichinja watu kwasababu tu sio wa Imani yao.
Sijawao ona wazayuni waki-down throat agenda zao ila waislamu mnafanya hivyo.

Bado unawashangaa watu wema kuwasapoti wayaudi ila wewe ujishangai kuwa mfuasi wa Muhammad mchinjaji na vandarist?.
Muhammad alikuwa anabadilisha watumwa weusi wawili kwa mtumwa mmoja wa Kizungu mbona ila mpo tayari kuua yoyote anaempinga? At the time ukiona mtu anasapot wazayuni kutetea ardhi yao unachukia!!

Unawachukia wayaudi kwasababu zako za Kijinga tu.
Hawa hautakiwi kuwajibu serious, nenda ki comed ndiyo huwa wanapenda hivyo. Hawana uwezo wa kusoma wala kuelewa hayo uliyoyaandika, sanasana watakuuliza yameandikwa wapi ndani kitabu
 
Kwani taarifa si umeisoma? Aliondoka kwasababu gani si wametoa sababu?
Walisema amekimbia?
Kichwa cha uzi wako kinasemaje?
Kwanini netanyhau isiwe jerusalem imepigwa?

Kwanini unatumia generalization Fallacy?
Hizi ni nyuzi za mijadala sio wapasha habari wa mashirika ya habari.Nashangaa unalazimisha lazima nifikiri kama ilivyoripotiwa na mashirika ya habari au nifikiri kama unavyofikiri wewe.
Hii ni wazi kuwa unaumia sana ukisoma taarifa za Hamas zilizokuwa hazikutarajiwa kuandikwa katika mwezi wa tatu wa vita.
Hata kama mashirika ya habari hayakuripoti undani wa habari wengine wana uhuru wa kufikiri na kuendeleza habari waliyoandika na ndio wanavyofanya wachambuzi wowote wa habari baada ya kusoma habari.Mjadala au uchambuzi unaweza ukaenda ndani sana kujadili jambo kwa masaa na masiku kutokana na habari ya mistari mitatu.
Katika hili jukwaa sijawahi kukutana na mtu muoga wa habari kuliko wewe.
 
Wakina nani hao?
Mantiki ya muoga wa habari ni ipi?
Pointi yako ni ipi?
Hiyo suorce nimekuuliza umeisoma?
Na kichwa cha nyuzi yako umeandika nini?
 
Upige bomu Dar useme umepiga nyumbani kwa Samia. Au siyo?
Ikiwa Samia anakaa Dar utakuwa umepiga nyumbani kwa nani wakati Dar yote ni yake.
Ukipiga ukanitaja mimi wala hutafahamika kuwa umenipiga mimi.
Mara ngapi BBC wanaripoti Putin kapiga nyumbani kwa Zelensky siku anapopiga Zaporinha
 
Wakina nani hao?
Mantiki ya muoga wa habari ni ipi?
Pointi yako ni ipi?
Hiyo suorce nimekuuliza umeisoma?
Na kichwa cha nyuzi yako umeandika nini?

Ukraine war: Russian strike on Zelensky's home city kills six

Kwanini hapo akatajwa Zelensky wakati wala nyumba yenyewe anayoishi au aliyozaliwa haikupigwa.Lengo la Bbc ilikuwa ni kuonesha uzito wa shambulio na ujumbe Russia iliyotaka kuufikisha.
Kwenye kichwa changu cha habari nilitaka nioneshe ukubwa wa tukio la Hamas kupiga mji anaoishi Netanyahu na kwamba maroketi yalitua mjini humo japo yaliiokosa nyumba yake.Na kama ingepiga nyumba yake basi tusingeshangaa kwani iron dome hazikuweza kuzuia.
Soma hiyo habari ya BBC halafu njoo na hiyo point yako.
 
ikiwa akili inakuelekeza kumchukia mtu anaepigania Ardhi yake,ambaye hajawai kuua mtu yoyote kwasababu ya dini yake ila hapo hapo hiyo akili inakuelekeza KUMPENDA na KUMTUKUZA mtu alieua, pora na kubadilishana watumwa weusi wawili kwa mtumwa mmoja mzungu.. Basi, hizo akili sizihitaji, baki nazo tu.
Kuchukia matendo ya Israeli dhidi ya wapalestina hakukuhitaji kuwa muislammu bali kuwa binadamu tuu. Naona unajificha kwenye kichaka cha dini kuficha ugaidi wa israeli dhidi ya wapalestina.
 
Ukraine war: Russian strike on Zelensky's home city kills six

Kwanini hapo akatajwa Zelensky wakati wala nyumba yenyewe anayoishi au aliyozaliwa haikupigwa.Lengo la Bbc ilikuwa ni kuonesha uzito wa shambulio na ujumbe Russia iliyotaka kuufikisha.
Kwenye kichwa changu cha habari nilitaka nioneshe ukubwa wa tukio la Hamas kupiga mji anaoishi Netanyahu na kwamba maroketi yalitua mjini humo japo yaliiokosa nyumba yake.Na kama ingepiga nyumba yake basi tusingeshangaa kwani iron dome hazikuweza kuzuia.
Soma hiyo habari ya BBC halafu njoo na hiyo point yako.

Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu.​

Soma na hiyo habari uliyoileta.
 
Daaah yaani badala ya kuwazia mamilioni ya raia gaza wanateseka unashabikia makombola yaliyomic target
 
Ukraine war: Russian strike on Zelensky's home city kills six

Kwanini hapo akatajwa Zelensky wakati wala nyumba yenyewe anayoishi au aliyozaliwa haikupigwa.Lengo la Bbc ilikuwa ni kuonesha uzito wa shambulio na ujumbe Russia iliyotaka kuufikisha.
Kwenye kichwa changu cha habari nilitaka nioneshe ukubwa wa tukio la Hamas kupiga mji anaoishi Netanyahu na kwamba maroketi yalitua mjini humo japo yaliiokosa nyumba yake.Na kama ingepiga nyumba yake basi tusingeshangaa kwani iron dome hazikuweza kuzuia.
Soma hiyo habari ya BBC halafu njoo na hiyo point yako.

Ukraine war: Russian strike on Zelensky's home city kills six

Kwanini hapo akatajwa Zelensky wakati wala nyumba yenyewe anayoishi au aliyozaliwa haikupigwa.Lengo la Bbc ilikuwa ni kuonesha uzito wa shambulio na ujumbe Russia iliyotaka kuufikisha.
Kwenye kichwa changu cha habari nilitaka nioneshe ukubwa wa tukio la Hamas kupiga mji anaoishi Netanyahu na kwamba maroketi yalitua mjini humo japo yaliiokosa nyumba yake.Na kama ingepiga nyumba yake basi tusingeshangaa kwani iron dome hazikuweza kuzuia.
Soma hiyo habari ya BBC halafu njoo na hiyo point yako.
habari inasema urusi imepiga mji wa zelensky na sio nyumba ya zelensky

Ona hapa👇

Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu.​

Hivi unahitaji degree kutambua utofauti wa sentensi hizo mbili?
 
Kuchukia matendo ya Israeli dhidi ya wapalestina hakukuhitaji kuwa muislammu bali kuwa binadamu tuu. Naona unajificha kwenye kichaka cha dini kuficha ugaidi wa israeli dhidi ya wapalestina.
kabisa mkuu,
Mimi ndio maana nilikataaga mambo ya udini.

Yaani kuna mtu anafurahi 180k people wanateketea eti sababu israel ni taifa teule! Unaona jinsi gani udini ulivyotafuna.
Wameenda mbali ukiilaani unakufa,
Tuna safari ndefu sana
 
Ni upuuzi mtupu
 
Kwani wale 1200 ambao hamas iliwauwa unawaonaje!
 
Si sawa kabisa mkuu!
Na ninalaani lile jambo kama ushaona michango yangu mingi utaona.

Kwanini uende kuteka na kuua? Kwanini asinge waface israel army?
Ulijiandaa vipi kulinda watu ambao hawana na taarifa yoyote?
Zijawahi furahishwa na upande wowote mkuu.
 
Sasa wanachokifanya Israel ni Kama wewe hapo mtu mzima halafu dogo akupige kofi moja mbele za watu kisha we ukamuwasha makofi kama manne hivi kulinda heshima ili asirudie tena.
Mimi pia sifurahishwi na mauwaji ya watu wasio na hatia ila kama kuna mtu ameua watoto wako wawili na wewe una uwezo wa kuua watoto wake wanne wauwe tu.
 
Back
Top Bottom