Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Nakushauri uwe unaangalia vyanzo mbalimbali vya habari usiwe na chombo kimoja tu.

Benjamin Netanyahu. Kwa hofu ya vitu kama hivyo Netanyahu inajulikana alizihama nyumba zake hizo mwanzoni mwa vita na kuhamia nyumbani kwa raifiki yake Mmarekani ambako kuna handaki la nyuklia.

Nakupa ruhusa tafuta chombo chochote habari hiyo ipo?
Au inasema nyumba za netanyhau?
Huwa ninapingana na watu kuleta taarifa za kwao!

Umeelewa point lakini?
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu bila kujali dini yake hawezi kusapoti unyama wanaofanyiwa raia wa Gaza. Jifikirie mara 2
 
Hayo ni maelezo baada ya habari. Habari kuu ni Jerusalem jana imepigwa makombora
 
Hayo ni maelezo baada ya habari. Habari kuu ni Jerusalem jana imepigwa makombora
sasa kuna shida gani kusema makombora jana yalipigwa israel mpaka uanze kudanganya kuhusu netanyhau kujificha kwa rafiki yake na wakati tarifa aisemi hivyo?

Ritz ndugu yangu anatuma taarifa sahihi baada ya kumuambia jana au juzi kama sikosei.

Tutoe taarifa sahihi
 
Unatia huruma kwa kweli
 
Nishakupa hizo link hebu tulia usome kwanza halafu futa huo upumbavu wako
 
Si uwa tunaambiwa Hamas wanakimbilia kwenye Mahdaki kumbe nao pia wamekimbilia kwenye mashimo😂
 
ok sasa tunataka tuone nyumba ya netanyhau zimepigwa?
Unaweza kuzileta?
Hio taarifa umeisoma?
Unatia huruma sana
Umekubali kuwa Netanyahu alihama nyumbani kwake na alihamia kwenye nyumba ya rafiki yake sasa unataka uoneshwe nyumba ya Netanyahu iliyopigwa.
Hatujasema imepigwa lakini makombora yamerushwa kwenye mji wenye nyumba zake.Yangerushwa telaviv tusingesema nyumbani kwake.
 
Si uwa tunaambiwa Hamas wanakimbilia kwenye Mahdaki kumbe nao pia wamekimbilia kwenye mashimo😂
Sheria ya ujenzi wa nyumba na barabara nchini Israel unatakiwa lazima ujumuishe na handaki litakuwa wapi.
Katikati ya mji ukisikia king'ora unatimkia kwenye handaki ambalo liko karibu nawe.
 
Umekubali kuwa Netanyahu alihama nyumbani kwake na alihamia kwenye nyumba ya rafiki yake sasa un
Kwani taarifa si umeisoma? Aliondoka kwasababu gani si wametoa sababu?
Walisema amekimbia?
Kichwa cha uzi wako kinasemaje?
Kwanini netanyhau isiwe jerusalem imepigwa?

Kwanini unatumia generalization Fallacy?
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu bila kujali dini yake hawezi kusapoti unyama wanaofanyiwa raia wa Gaza. Jifikirie mara 2

ikiwa akili inakuelekeza kumchukia mtu anaepigania Ardhi yake,ambaye hajawai kuua mtu yoyote kwasababu ya dini yake ila hapo hapo hiyo akili inakuelekeza KUMPENDA na KUMTUKUZA mtu alieua, pora na kubadilishana watumwa weusi wawili kwa mtumwa mmoja mzungu.. Basi, hizo akili sizihitaji, baki nazo tu.
 
Upige bomu Dar useme umepiga nyumbani kwa Samia. Au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…