Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu

Point yangu ni kwamba, weye Kama wataka habari ambazo hazipatikani media zote duniani, lakini zahusu Israel inavyopigwa, karibu Masjidi
Masijidi ni sehemu ya kutoa habari za israel au ni pa kusali kumuomba allah?

Pointi yako ni ipi ?
 
Ikiwa Samia anakaa Dar utakuwa umepiga nyumbani kwa nani wakati Dar yote ni yake.
Ukipiga ukanitaja mimi wala hutafahamika kuwa umenipiga mimi.
Mara ngapi BBC wanaripoti Putin kapiga nyumbani kwa Zelensky siku anapopiga Zaporinha
Kumbe ndivyo ilivyo hivi?
 
Ikiwa Samia anakaa Dar utakuwa umepiga nyumbani kwa nani wakati Dar yote ni yake.
Ukipiga ukanitaja mimi wala hutafahamika kuwa umenipiga mimi.
Mara ngapi BBC wanaripoti Putin kapiga nyumbani kwa Zelensky siku anapopiga Zaporinha
Wewe mpaka sasa hujui unachotetea
 

Hamas warusha makombora 6 nyumbani kwa Netanyahu.​

Soma na hiyo habari uliyoileta.
Umechanganyikiwa mno.Mbona hukukubali mwanzo kuwa ulikuwa umepitwa na matukio nilipokuonesha jinsi Netanyahu alivyojificha nyumbani kwa rafiki yake.
Hamas warrusha makombora sita nyumbani kwa Netanyahu ni Kiswahili.Kwa kiingereza unaweza ukasema
Hamas fires 6 rockets towards Netanyahu home city.
Ujumbe utakuwa ni huo huo kwamba Netanyahu anawindwa na Hamas na walikusudia kumpelekea salamu kwamba tukikupata tutakupiga.
Unaposikia wakenya wakisema Nilikwenda kwa nyumba ya baba jana huwa unafahamu vipi.ukimtaka akupe tafsiri ya uzi huu atakwambia
Hamas wamepiga kwa nyumba ya Netanyahu
 
nyumbani kwa Netanyahu ni Kiswahili.Kwa kiingereza unaweza ukasema
Hamas fires 6 rockets towards Netanyahu home city.
Umechanganyikiwa sana.
Netanyhau’s house

Netanyhau home city ni sentensi nyingine wewe umesoma wapi?
 
Hamas fires 6 rockets towards Netanyahu home city.
Hamas claims rocket attack towards jerusalem.
Ndugu yangu umesoma wapi?

Taarifa inasema jerusalem wewe unasema nyumbani kwa netanyhau na bado unapigana?

Mbona umesema netanyhau amekimbia? Hujui decamped ni nini?
 
Hamas claims rocket attack towards jerusalem.
Ndugu yangu umesoma wapi?

Taarifa inasema jerusalem wewe unasema nyumbani kwa netanyhau na bado unapigana?

Mbona umesema netanyhau amekimbia? Hujui decamped ni nini?
Kwani nyumba za Netanyahu ziko mji gani?
Wewe mwenyewe umetoka kijiji fulani Arusha. tunasema huko ndio nyumbani kwenu ,Siku mafuriko yakitokea tutasema mafuriko yametokea nyumbani kwa passion-amal.
Tofauti iko wapi tukisema kombora la Hamas limerushwa nyumbani kwa Netanyahu.
Kwa ufupi achana na mimi.
hamas wamerusha makombora sita nyumbani kwa Netanyahu.
Kama haijakupendeza kazi ya Hamas peleka dome zako zikaziangushe zitakazofuatia.
 
Correspondent yeyote ambaye ni professional hawezi tumia hasty of generalization.

Ndio maana weww umetunga kuhusu nyumba za netanyhau kupigwa lakini mwenye kazi yake kaandika hamas claims attacks towards jerusalem nafikiri umeona utofauti wako na wenye career zao.

Ahsante kwa kujifunza karibu tena.
 
Wakijibiwa wasiseme wanaua watoto
 
Kinachonishangaza hizi taarifa umezipata wapi?

Si aljazeera reporters wake wakisema kuhusu netanyhau kuhama, wala media yoyote ile.

Wewe umepata wapi hizo taarifa?
Huyo si mke wa kiongozi wa hamas
 
Inadawa kuwa kuna tume maalum ya uchunguzi inaundwa kwajili ya tukio hilo taarifa itatolewa.
Yaani hamas wavamie kisha muda huo huo jeshi la Israel liuwe watu wake, inamaana jeshi lilishajipanga kufanya hivyo. Mbona haiingii akilini hii! Hiyo tume inaundwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…