Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Kumbe bado mpo!

God Bless Israel
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
 
Hawa Hamas sijui kwanini wakitetewa hali ikapoa kidogo huwa wanatumia kila mbinu ili pawe pa moto. Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu. Baadae Israel irudishe mashambulizi makali wapost picha za wanawake mabonge wakilia
 
Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
Hizo porojo zimeipitwa na wakati Hamas wapo peke yao unaenda mwezi wa 9 wameshindwa kuokoa mateka wao Gaza yenyewe Kigamboni kubwa, jana kwenye mapigano Jabaila hao wanajeshi unawasifiwa wamepgwa kisha wametekwa Israel wanaona aibu kusema Hamas wametanganza leo.
 
Back
Top Bottom