Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hata Hamas ni raia wa PalestinaWanaolia Hamas au raia wa KiPalestina!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Hamas ni raia wa PalestinaWanaolia Hamas au raia wa KiPalestina!?
Takataka tu hizo kule mpakani na Lebanon Hezbollah kashazimaliza zote kuzitungua anajipigia mtungo tu wayahudi wote wamekimbia miji.Kazi ya iron DOME ni nini kama inashindwa kutungua rocket za Hamas.
Mambo ni mengi mkuu.Suala kama hili ain't about being too sure.
Embu tizama Israel hali alokua nayo kiuchumi na kidiplomasia na kiusalama.
Pia ili kutekeleza hili lazima alifanyie Gaza,ni wapi hapo Gaza atapata upenyo wa kufanyi hili!?
Hahaha Yahudi mweusi wa Makete anaumwa UTI sugu anatoa tamko😀Upagawaji upo wapi wapo!!?
Na Cheka kwa, furaha, wavaa makubaz, hii itakuwa Nakba pro max! Tu tafuta kizazi, chote cha uzao, wa Ishmael!
Wewe watu wapo vitani unazungumzia habari ya kujibu mashambulizi. au unadhani wakati wa hili shambulio IDF walikua vacation wanakunywa wine na totoz.
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
siyo kwamba watasambazwa. Hii ni aina fulani ya vita ngumu kumtambua adui ni nani, inabidi israel iwasake taratibu ili kukwepa kuua raia wengi, vinginevyo ingetupa bomu moja tu rafah yote itakuwa nyang'anyang'a. Hamas wasijaribu kufanya maangamizi makubwa israel, wataangamizwa wao zaidiIsrael ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Kwahiyo wewe ni sawa na askari wa JWTZ!??Hata Hamas ni raia wa Palestina
Wewe ndio hufuatilii na hujui lolote. Israel hajawahi kupigana vita bali ni NATO ndio wanaopigana kwa pretext kuwa ni Israel.Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
Wadudu wa Arusha hawawezi elewa hivi.Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
Hakuna operation ya kukamata gaidi eti unaua raia. Una bomb hospitals, shule, makanisa, misikiti. Hiyo ni failure ya Intelligence.siyo kwamba watasambazwa. Hii ni aina fulani ya vita ngumu kumtambua adui ni nani, inabidi israel iwasake taratibu ili kukwepa kuua raia wengi, vinginevyo ingetupa bomu moja tu rafah yote itakuwa nyang'anyang'a. Hamas wasijaribu kufanya maangamizi makubwa israel, wataangamizwa wao zaidi
Wachukue mfano wa Turkiye.Hakuna operation ya kukamata gaidi eti unaua raia. Una bomb hospitals, shule, makanisa, misikiti. Hiyo ni failure ya Intelligence.
Israel wamedhihirisha ni jinsi gani walivyo wachovu kijeshi na kiintelijensia kwa upuuzi wanaofanya hapo Gaza.
Pamoja na mabilioni ya dollar wanayopokea kutoka kwa NATO lakini ni upuuzi tu hamna watu hapo.
Sasa mbona jibu lako we ndio umeonekana Punguani We muajemi wa Mbalamaziwa?Propaganda za kishoga hizo watu wameishazipuuza kwa hiyo wakikimbia kwa watoto mabomu wakipigwa wanachagua wa kuuwa? Usiwe punguani.
hao hamas wakishughulikiwa msije tena hapa kulialiaWanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.
Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv
====
Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.
Hata hivyo PKK imeisumbua Turkey muda mrefu!Wachukue mfano wa Turkiye.
Mbona Turkiye ikiingia kupambana na PKK ndani ya mipaka ya Syria wanaenda askari wasiozidi 200 na hutimiza kazi kiukamilifu pasi na kuumiza raia!?
Na mbaya zaidi PKK kambi zao ziko katikati kabisa ya makazi ya raia wa Syria.
Ila askari jeshi wa Uturuki wanavyowasaka na kuwadaka utashangaa aisee.
Sasa ndio hapo ujiulize IDF inafeli wapi!?
Uturuki awezaje na IDF ashindwaje!?