Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Kumbe Hamas Bado wanajionyesha Bado wapo!
Huo sio ujanja ni ujinga!
Kuna mbinu moja ya Medani ku-withdrow Ili kujijenga upya....
 
Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Waweza shanga mosad ndo wamerusha hayo maroket
 
Ww either hufuatilii mambo au umezaliwa miaka ya 2000, kwa taarifa Yako Israel alishapiga hao unaowaita jeshi kamili tena wakiwa wameunganika zaidi ya nchi moja na amewatandika zaidi ya mara moja pia.
Embu lete ushahidi wa uyasemao.
Maana nikikumbuka so far 2006 alipigana na wanamgambo waliokamilika wakamtoa damu akakimbia na kuacha vifaru pale Lebanon.
 
Hawa Hamas sijui kwanini wakitetewa hali ikapoa kidogo huwa wanatumia kila mbinu ili pawe pa moto. Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu. Baadae Israel irudishe mashambulizi makali wapost picha za wanawake mabonge wakilia
Israel haijaacha aggression licha ya waraka wa ICJ.
Je IDF wameshusha bendera Rafah na kuondoka?
Jibu hapana.
 
Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Unaongea nini buddah!?
Je IDF wameondoa jeshi na kushusha bendera za Israel pale Rafah!?
Jibu hapana.
Hivyo mpaka waondoke Rafah na washushe zile bendera zao za upinde ndipo patatulia.
 
Wanaukumbi.

Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.

Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv

====

Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.

Sasa ivi haya maroketi yanaondoka na Ayatollah khamnei
 
Hamas Yuko kama mwanamke kwenye siku zake za hatar atafanya Kila namna ili mradi umtafune tu, hii ni aibu kwa ICJ maana walishawaamuru Israel wasiishambulie Rafah kuepuka maafa Leo Hamas wanarusha rockets kutokea Rafah hii inawapa kibali IDF kuifukumua Rafah wanavyotaka.
Lini IDF alizuiwa na kibali chochote kufanya mashambulizi huko palestina? Hao hamna haja ya kuhangaika nao hao hamas wanawatosha watawatoa kamasi mpaka wakubali kusitisha vita.
 
Hawa Hamas sijui kwanini wakitetewa hali ikapoa kidogo huwa wanatumia kila mbinu ili pawe pa moto. Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu. Baadae Israel irudishe mashambulizi makali wapost picha za wanawake mabonge wakilia
Hali imepowa lini?
 
Nimewaza tu out loud mkuu, Dunia bado ina mengi hatujayaona. Don' t be too sure.
Suala kama hili ain't about being too sure.
Embu tizama Israel hali alokua nayo kiuchumi na kidiplomasia na kiusalama.
Pia ili kutekeleza hili lazima alifanyie Gaza,ni wapi hapo Gaza atapata upenyo wa kufanyi hili!?
 
Upagawaji upo wapi wapo!!?
Na Cheka kwa, furaha, wavaa makubaz, hii itakuwa Nakba pro max! Tu tafuta kizazi, chote cha uzao, wa Ishmael!

Back
Top Bottom