Wakristu wenzenu wameuliwa in a cold blood attack.Wewe mbona haujaja na ushahidi wa Lebanon
Basi bora ungesema bomu au kombora limerushwa ila hapana,SNIPER ndio wamehusika.
Bro nadhani unajua kuwa SNIPER lazima apime kipimo a lock target ndio afyatue risasi.
KATAA NA HAPO.
Na mashuhuda wanadai hawakupewa onyo wala nini walishtukia risasi zikipigwa kuelekea KANISANI.
Je Hamas nao walijificha kanisani!?
NASUBIRI USHAHIDI MKUU WA HAMAS KUJIFICHA NYUMA YA RAIA.