Hamas hawajifichi nyuma ya raia.
Hayo ni maoni tu ya raia waliochoka vita,katika hao hao raia wapo wanaodai kuwa bora kufa kuliko kuwa chini ya udhalimu wa Israel.
Israel huua raia wa adui ili kuleta intimidation kwa adui adhohofike kivita.
Hata Lebanon Israel aliwatisha hivi hivi kwa kulipua white phosphorus kwa mashamba ya walebanon na kulenga makazi ya raia na IDF ilisema wazi"if Hizbollah will strike Lebanese citizens will suffer with more casualties".
Ndio Hizbollah ikawaamuru raia wa kilebanon kusini mwa Lebanon wahame waondoke.
Israel ndio mtindo wake huo kuua raia kumdhohofisha adui.
Mbaya raia wa Gaza hawana pa kukimbilia.
Ila Lebanon raia walihama pakaachwa patupu Israel kaskazini anasurubiwa kama hana akili nzuri.