Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kwa hio vita ni kuvunja majumba, hospital, shule au safi sana.Uraia wa mtu haupimwi kwa kujua kushika silaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio vita ni kuvunja majumba, hospital, shule au safi sana.Uraia wa mtu haupimwi kwa kujua kushika silaha
We bwege kweli wapi Al jazeera kaonyesha Hamasi anapiga raia wake. We chizi nini.Mnahusudu uongo kama Allah best of diceiver.. yametunguliwa yote yenye kuhatarisha uslama.. and Hamas wamefyatua baada ya kuona wamekaribiwa mita mia 8 wakaamua ku empty silaha zao zisije chukuliwa ... na eneo walilorushia lishateketezwa..
Tizama Aljazeera Hamas wamelipua kambi ya raia kusingizia Israel na uzuri wamenaswa live wanasingizia air strike
Hao ni migambo ngoja Palestine liwe taifa huru liwe nawanajeshi na siraha ndipo utajua au hujui.Wakipigwa wanaanza kulia
We bwege kweli wapi Al jazeera kaonyesha Hamasi anapiga raia wake. We chizi nini.
Al jazeera anasema israel ndio kapiga tent za hao raia na inajulikana Rafah ni tent za wakimbizi tu hakuna majumba sa silaha ziko wapi.
View: https://youtu.be/DSe2SXNLRlI?si=fZ8JRq7aZ_e-caLc
Bomu moja tu ndege wawili.. aljazeera wanakuza tu... wanazuga eti kuzina Hamas na maji ya ndoo... yaani wapate tu sympathyRafah inapendezeshwa muda huu!
God Bless Israel
Hivi dogo we unadhani Hamasi wajinga wakakae kwenye matent, hizo akili ni zenu wewe na Israel ndio mana Israel vita kashindwa anaona aibu kusema nimeshindwa anakimbilia kuwauwa watu wako kwenye matent hata UN wanajua pale Rafah hakuna Hamasi .Na Israel kasema Makamanda wawili wa Hamas wameuwawa.. wakiwa wamejificha kwenye sket za wanawake wa kununua Wakila Mutta.. for now on mshaambiwa muondoke Raffah wabaki Hamas so subiri next.. Hamas wala ISLAMIC jihad hawana sababu ya kulaumu yeyote wao ndio waamuzi achieni Mateka landa Netanyahu atawaspare
Wanaolia Hamas au raia wa KiPalestina!?
Usiwe punguani eti Isreel kasema yaani Hamas wakajifiche kwenye tent 😀 wewe jinga la kiwango cha mwisho Hamas wajifiche kwenye tent na mateka wa Israel watakuwa wapi? Bwana wenu Israel kaishashindwa vita anapiga mabomu hospitali, Tents, shule, majengo kote huko anasema Hamas wamejificha. Unakumbuka Israel walisema Makao Makuu ya Hamas ni Shifaa Hospital na mateka wamefichwa huko wewe bado punguani unalishwa propaganda kila siku unameza tu tumia akili ulizopewa na Mungu, Huwezi kushinda vita kwa kurusha mabomu hovyo ingia ardhini waone wanavyonyooshwa na Hamas, wakijaribu tu wanauliwa wanajeshi wameisha huko Israel wanaomba wa akiba.Na Israel kasema Makamanda wawili wa Hamas wameuwawa.. wakiwa wamejificha kwenye sket za wanawake wa kununua Wakila Mutta.. for now on mshaambiwa muondoke Raffah wabaki Hamas so subiri next.. Hamas wala ISLAMIC jihad hawana sababu ya kulaumu yeyote wao ndio waamuzi achieni Mateka landa Netanyahu atawaspare
Kwamba wajidhalilishe mifumo yao haina uwezo wa kuzuia makombora?Hii michezo! inawezekana kabisa Israel wenyewe wanahusika ili waendeleze mambo yao huko Gaza.
Ndio hamasKumbe watoto wadogo na wabibi nao ni HAMAS!?
Una uthibitisho?
Ukiamua kupigana vita usimchagulie adui namna ya kukupiga. Anaweza hata akazuia flow ya chakula, maji au nishati isiingie eneo lako, wala usilalamike maana uliamua mwenyewe kuingia vitani.Kwa hio vita ni kuvunja majumba, hospital, shule au safi sana.
Kuna tofauti kati ya kusema Hamas ni waPalestina na kusema Wapalestina ni Hamas. Kama hukusoma hesabu za set utaendelea kudhani ni kitu kile kileNikisema una matatizo ya uelewa itakua nimekuonea!?
Tizama nilichouliza kesha oanisha na jibu ulionipa,je yamaanishaje?
Ni sawa nikuulize wanaolia ni JWTZ au raia?
Halafu unijibu "JWTZ nao raia wa Tanzania",je ni jibu sahihi kwa kilichoulizwa?View attachment 3000244
Art of warHii michezo! inawezekana kabisa Israel wenyewe wanahusika ili waendeleze mambo yao huko Gaza.
🤣🤣🤣 Acha vichekeshoMnahusudu uongo kama Allah best of diceiver.. yametunguliwa yote yenye kuhatarisha uslama.. and Hamas wamefyatua baada ya kuona wamekaribiwa mita mia 8 wakaamua ku empty silaha zao zisije chukuliwa ... na eneo walilorushia lishateketezwa..
Tizama Aljazeera Hamas wamelipua kambi ya raia kusingizia Israel na uzuri wamenaswa live wanasingizia air strike
Unaleta mifano ku justify makosa yako!?Kuna tofauti kati ya kusema Hamas ni waPalestina na kusema Wapalestina ni Hamas. Kama hukusoma hesabu za set utaendelea kudhani ni kitu kile kile
Kwahiyo wewe na wanao na mkeo ni JWTZ??Ndio hamas
Huo sio mfano, ni kile nilichosema. Mimi nimesema Hamas ni Wapalestina, sasa unachokataa ni nini?Unaleta mifano ku justify makosa yako!?
Kwa nilichouliza ulistahili kujibu vile!?
Huyo ni mlokole wa kwa mwamposa hauwez kumweleza kitu kuhusu isrel .Unachokieleza IDF waliambiwa wathibitishe ila wakafeli.
Wamekagua kila kona hawakuona silaha hata hizo hospitali walizodai wanajificha.
Kuna madaktari wa UNRWA ambao wazungu walikana na wakatoa ushuhuda kuwa HAKUNA HOSPITALI WALA DAKTARI ANAYETUMIKA NA HAMAS.
We ni nani utoe shutuma hizi!?
Swali nililouliza linaendana na jibu ulonipa!?Huo sio mfano, ni kile nilichosema. Mimi nimesema Hamas ni Wapalestina, sasa unachokataa ni nini?