T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sera hiyo huweza kubadilika kidogo kutokana na ombwe la mabadiliko ya uongozi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran pamoja na Rais wamebadilika. Wanaokuja wana kazi kubwa kujipanga kwanza internally na kidiplomasia kabla hawajawawaza Wapalestina. Kwanza Rais wa sasa ni wa mpito, nchi iko kwenye tension kuelekea uchaguzi.Iran kuwasaidia Palestine ni sera ya mambo ya nje ya Iran sio mapenzi ya rais anaekuwa madarakani kwa wakati husika.
Wanachofanya Hamas ni sawa na Marekani wawe kwenye uchaguzi mkuu alafu nchi ndogo mshirika ianzishe vita ikitegemea support yao.