Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Sio ICJ wewe kilaza. Waliotaka Israel wathibitishe madai yao kwa kuishutumu UNRWA na Israel kushindwa ni UNSC
Sizungumzii shutuma ya UNRWA kiazi wewe.
Soma vizuri post yangu,nadhani hujaisoma kwa uelewa.
 
Kwahiyo wewe nawe mwanajeshi wa JWTZ na umekula kiapo cha kutumikia jeshi!?
Labda hujui kinachoongelewa. Hapa unazungumzwa uraia. Kama wewe unajihisi sio raia hadi uhudhurie mafunzo ya jeshi, hiyo ni akili yako
 
Israel ni takataka tu. Kama inachukua karibia mwaka ku deal na wahuni walioko kwenye kamji kadogo kama kijiji siku wakikutana na jeshi kamili siwatasambazwa kama kinyesi tu.
Hamas wanajificha kwenye kivuli cha wapelstina inaonekana israel inawapiga raia wake na sio wao hamas lakini kuna wakati ikifika inabidi israel ipige tu hapo hapo kwenye raia wa Palestine
 
Attachments

  • VID-20240131-WA0043.mp4
    8.8 MB
Tofauti ya hamas na raia wa palestine ni ipi? And how unawatofautisha kwenye war field?
Kwani raia wa Gaza wanakaaga waefield?
Kanisa na hospitali ni war zone?
Wale wanawake watatu waliopigwa na sniper/mdunguaji wa masafa ya mbali kwa rifle wakiwa kanisani je hawakutambulika kuwa raia?
Je walikua katika war zone!?
Hamas hubeba AK-47 begani,pia maeneo yao ni vichochoro na mahandaki ndiko wanakovizia.
Na katika mahandaki yote wanayovizia hakuna hata handaki lililoko ama lililozungukwa na raia.
Video zinarushwa tunazionaga hapa mahandaki wanayochomoka na kuvizia IDF huwa nje na maeneo ya uraia.
 
Hamas wanajificha kwenye kivuli cha wapelstina inaonekana israel inawapiga raia wake na sio wao hamas lakini kuna wakati ikifika inabidi israel ipige tu hapo hapo kwenye raia wa Palestine
Hamas hawajifichi nyuma ya raia.
Hayo ni maoni tu ya raia waliochoka vita,katika hao hao raia wapo wanaodai kuwa bora kufa kuliko kuwa chini ya udhalimu wa Israel.
Israel huua raia wa adui ili kuleta intimidation kwa adui adhohofike kivita.
Hata Lebanon Israel aliwatisha hivi hivi kwa kulipua white phosphorus kwa mashamba ya walebanon na kulenga makazi ya raia na IDF ilisema wazi"if Hizbollah will strike Lebanese citizens will suffer with more casualties".
Ndio Hizbollah ikawaamuru raia wa kilebanon kusini mwa Lebanon wahame waondoke.
Israel ndio mtindo wake huo kuua raia kumdhohofisha adui.
Mbaya raia wa Gaza hawana pa kukimbilia.
Ila Lebanon raia walihama pakaachwa patupu Israel kaskazini anasurubiwa kama hana akili nzuri.
 
Onyesha nilipoandika hivyo. Nasubiri
Nikisema una matatizo ya uelewa itakua nimekuonea!?

Tizama nilichouliza kesha oanisha na jibu ulionipa,je yamaanishaje?
Ni sawa nikuulize wanaolia ni JWTZ au raia?
Halafu unijibu "JWTZ nao raia wa Tanzania",je ni jibu sahihi kwa kilichoulizwa?
Screenshot_2024-05-26-22-28-33-59_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kwani raia wa Gaza wanakaaga waefield?
Kanisa na hospitali ni war zone?
Wale wanawake watatu waliopigwa na sniper/mdunguaji wa masafa ya mbali kwa rifle wakiwa kanisani je hawakutambulika kuwa raia?
Je walikua katika war zone!?
Hamas hubeba AK-47 begani,pia maeneo yao ni vichochoro na mahandaki ndiko wanakovizia.
Na katika mahandaki yote wanayovizia hakuna hata handaki lililoko ama lililozungukwa na raia.
Video zinarushwa tunazionaga hapa mahandaki wanayochomoka na kuvizia IDF huwa nje na maeneo ya uraia.
Bado sana, umeelezea ki civilian sana ila bado . reality ni kwamba ni ngumu kipigana na adui anaejichanganya na raia, adui ambae anajificha katikati ya raia. Moja ya mbinu ya hamas ni ku mix na general population ya wa palestina, only time wanajitenga pale wanapotaka kushambulia.
Why wanajichanganya? kwao ni safe na rahisi maana raia wako protected na sheria za kimataifa, even wanajeshi wanakua kwa ground wana rules of engagement kuhusu raia (wapo wanafuata wapo ambao hawazifuati), huwa wanasita
 
Unayoyaeleza Hamas kujificha nyuma ya raia una USHAHIDI na hilo!?
Tuanze hapa kwanza.
 
Iron dome zimezidiwa na usingizi🤣View attachment 3000100
Mnahusudu uongo kama Allah best of diceiver.. yametunguliwa yote yenye kuhatarisha uslama.. and Hamas wamefyatua baada ya kuona wamekaribiwa mita mia 8 wakaamua ku empty silaha zao zisije chukuliwa ... na eneo walilorushia lishateketezwa..

Tizama Aljazeera Hamas wamelipua kambi ya raia kusingizia Israel na uzuri wamenaswa live wanasingizia air strike
 
Back
Top Bottom